Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
hakika hii ac imedukuliwa[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]


alafu kuna nyumbu wame like alichopost ,haya mambo yanachekesha kweli
 

Mwandiko wa mange kabosa huu. Anapenda kusema 'haki'.
Kweli mange is a lonely ass. Kumbe hadi leo kinamuuma alivogombana na kina kiki
 

Hamisa Mange hakupendi. Anakutumia tuu kumtukana Zari, girl. Mange banaa...
 
FACT
 
Account kuwa hucked nitofauti na kutekwa kwa mtu jamani anyway tusubiri jioni akiamka tutajua kalewa, au hacked
 
Kumbe ile e mail ilikua ya kweli! Mlevi ndio huwa anasema ukweli
Ndio.. Mii mwenyewe nimejua leo kuwa ile email ilikua ni kweli. Coz siku zote mlevi ndo huwa anasema ukweli.
Haha namsubiri atakuja na lundo gani la uongo la kuwachota wale misukule wake
 
Yaan hapa nishacheka balaa ,,,kalewa huyo aisee
 
Ndio.. Mii mwenyewe nimejua leo kuwa ile email ilikua ni kweli. Coz siku zote mlevi ndo huwa anasema ukweli.
Haha namsubiri atakuja na lundo gani la uongo la kuwachota wale misukule wake
Dah basi huyu dada si wakumuamini sana hata uanaharakati wake muda wowote ana change
 
hakika hii ac imedukuliwa[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]


alafu kuna nyumbu wame like alichopost ,haya mambo yanachekesha kweli
Yani nashangaa sana. Eti watu wamelike utumbo ulioandikwa. Haki watz kweli ni vichaa jamni
 
Mange anawanyima usingizi akina Lemutuz na Bashte baada ya kutoa siri za maovu yao
 
Sio wa kumuamini kabisa. Yani nawaangliaga watu wa cdm kina Kilewo, kina Binamu Bananga wanavoji attach naye nawaone huruma. Wasubiri akiwachenjia watakoma. Sio wa kumuamini kabisa
Ha ha alivyokua anamsifia Bint Makamba and family na akawavua nguo na hata Wema aangalie sana dalili zipo wazi siku isiyo na jina ataisoma
 
yaani kama kuna great thinker humu anayeamini mange amelewa au account yake iko hacked, basi atakuwa na upeo mdogo mnoooo. you dont know her. yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya chochote. anachokifanya ni makusudi ili kutoa attention kwenye event ya danube gsm mall
 
watu wasiojulikana wameshafanya yao khaaaa!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…