wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
huyu hakutumwa na lile the Tembo dictator kweli, nauuliza tu
tuambie mkuu!
inaonekana ni mtandao wa muda mrefu, sasa wanataka kupunguza chanell ionekane suala hili linafanyiwa kazi....
Baado wale wanao deal interms of tonnes za ndovu, je jwtz wataweza ?? wakati tiss hawana habari kamili !!.
Kweli shuka halina mfuko duhsanteeeeeeee,safi kwa kazi nzuri.
Nalog off
Safi sana, nilimsikia Mheshimiwa Rais katika interview yake na ICCF kuwa kishaamuwa kuliingiza Jeshi la Wananchi kushughulikia hii mambo, naona kazi imeanza:
[video=youtube_share;Hxp1EN-_NUY]http://youtu.be/Hxp1EN-_NUY[/video]
mtu mmoja anayefahamika kwa jina la karama mwenye asili ya kiarabu,leo mapema ametiwa nguvuni na wanajeshi wapatao kumi baada ya kuhisiwa na kukutwa na pembe za tembo nyumbani kwake maeneo ya maktaba mbinga-ruvuma.Wanajeshi hao waliizunguka nyumba ya mfanyabiashara huyo na wengine kuikagua ndani ndipo walipokuta 'ishu' hyo.Msako huo wa kushtukiza pia uliwanasa watu wengine wawili waliofahamika kwa majina ya mathias na pius kuhusiana na tukio hilo ambao wote wamechukuliwa na wanajeshi hao kuelekea kwenye sheria
hii inaitwa "operesheni tokomeza". Hakuna jangili atakayesalia hai.
Tuambie MKUU!
sisi ndio tumesababisha kukamatwa kwake na sio yeye tu,tegemea kusikia mengi toka mbinga kuanzia leo
sisi ndio tumesababisha kukamatwa kwake na sio yeye tu,tegemea kusikia mengi toka mbinga kuanzia leo
Sio lazima umention jina mkuu, toa tu hata description kama unaogopa. Huwezi weka matatani kwa descriptionhiyo kazi alikuwa na anapiga na watu ambao nikikuambia huwezi amini
Huyo jamaa namjua vizuri ndio dili zake kitambo sana
Safi sana, nilimsikia Mheshimiwa Rais katika interview yake na ICCF kuwa kishaamuwa kuliingiza Jeshi la Wananchi kushughulikia hii mambo, naona kazi imeanza:
ni ku'misuse' jeshi la wananchi...kwahiyo askari wa wanyama pori wamefutwa kazi au wamepewa likizo bila malipo.
Ebu fikiria vizuri...hivi majuzi alikamatwa askari wa jeshi la wananchi na pembe za ndovu...je. Hapa mnataka kutupa picha gani...!?