Mkuu usiri wa sehemu hizo bado unaumuhimu sana kwa watu wenye akili zao!Maungo nyeti ambayo kuonekana kwake ulitakiwa muwapo faragha tu,tena mkiwa mmezima taa,yalipewa neno la staha (sehemu za siri) Ila kutokana na urahisi wa kuyaona haya makitu kuna ulazima wa kufanyia amendments ule usiri walizungumza wazee wa zamani....kalaghabaho!
Duh!mungu aiweke roho yake mahali pema peponi!Mda sana mbona?
Hiyo MILEAGE yake imekwenda sana ingawa bado mbichi kabisaaa.
Duh!mungu aiweke roho yake mahali pema peponi!
sina uenyeji mi mzururaji tuWewe ni mwenyeji wa mtaa gani?
Mkuu masuperstar huwa wanatengenezwa,amini usiamini!Eti naye ni superstar!
Majanga.
Teh teh teh!sawa mkuu!sina uenyeji mi mzururaji tu
Sote njia yetu ni moja!Amin amin
Teh teh teh!umenichekesha sana mkuu!Itakua imefanyiwa over whole ila ulaji wake wa mafuta itakua ni balaa
Teh teh teh!sawa mkuu!
Kama huyu ametengenezwa pia, basi designer hayuko creativeMkuu masuperstar huwa wanatengenezwa,amini usiamini!
![]()
MBONA TUNAIBIWA MCHANA KWEUPE JAMANI?