TIGOPESA
Senior Member
- Apr 2, 2014
- 190
- 63
AK 47 ni bunduki ya kivita iliyotengezwa Russia. Jina lake halisi ni Avtomat Kalashnikova. Mara ya kwanza ilitumika mwaka 1949. Mgunduzi wa bunduki hii ni Mikhail Kalashnikov na toleo la kwanza lilikuwa mwaka 1949-1959. Ina uwezo wa kubeba risasi 30 kwenye magazini yake. Hata hivyo kuna magazini nyingine za mduara zenye uwezo wa kubeba risasi 100.
... Ina uwezo wa kulenga hadi umbali wa mita 400.
... Ina uwezo wa kulenga hadi umbali wa mita 400.