Ajuza abakwa na kuvunjwa kiuno

Ajuza abakwa na kuvunjwa kiuno

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,917
Imetokea ktk Wilaya ya Same,katika Jimbo la Same Magharibi katika kijiji cha Makanya,bibi kizee mwenye umri wa miaka 90(Jina linahifadhiwa) amebakwa na watu wasiojulikana mpaka kuvunjwa kiuno.
Akiongea kwa taabu na huku akiwa na maumivu makubwa,bibi huyo anasema alibakwa na mtu asiyemtambua usiku akiwa nyumbani kwake.Bibi huyo anaishi peke yake bila wajukuu wala watoto amepata majeraha na michubuko sehemu za siri huku akivunjika kiuno kwa adha ya kubakwa.
Ametibiwa ktk hospitali ya wilaya ya Same na baadae kupata msaada toka kwa Misheni ya kanisa katoliki Jimbo la Same,wakiongea kwa uchungu kina Mama wa eneo hilo wameomba polisi kufanya uchunguzi ili kumpata muhusika na kumfikisha ktk vyombo vya sheria kwani ni kitendo cha kinyama kwa bibi muhusika na wanawake kwa ujumla.
Bibi huyo anaendelea na matibabu ya kiuno na nyonga aliyoteguka baada ya kuingiliwa kwa nguvu.
 
dah!kwa kweli viroba,gongo,bangi vinawapeleka pabaya,hapo havijaruhusiwa,km dk akipata uprezdaa akaruhusu gongo c ndo itakua balaa,hata watoto wadogo wa miaka 2 watabakwa,walaaniwe hao watu waliombaka bibi wa watu.
 
Ni balaaa...sasa sijui mtu anapata raha.gani juu ya kiuno cha Ajuza
 
Kama siyo imani ya kishirikina kama alivyochangia mdau hapo juu, basi huyo mbakaji atakuwa na hitilafu kwenye medula oblangata yake! Huyo ni hayawani mkubwa! Na akikamatwa, anapaswa kushughulikiwa kama mahayawani wenzake wanavyoshughulikiwa!
 
Dalili za siku ya mwisho zinajionyesha
 
Mungu, tunaenda waph?
Nakuomba baba nyosha mkono wako. Haya yote yataisha.
 
dah!kwa kweli viroba,gongo,bangi vinawapeleka pabaya,hapo havijaruhusiwa,km dk akipata uprezdaa akaruhusu gongo c ndo itakua balaa,hata watoto wadogo wa miaka 2 watabakwa,walaaniwe hao watu waliombaka bibi wa watu.

ujawai kuskia mtoto wa mwaka mmoja amebakwa?
 
Back
Top Bottom