nadhani alitakiwa kumshirikisha mumewe katika hilo bila ya kukurupuka, kila mtu analinda mali yake bwana,bora uitwe haujiamini kuliko ukajifanya unajiamini halafu watu wanakuona b.w.e.g.e.
nimefikiria ingekuwa mimi ingekuaje? bwana ako anaomba namba ya simu au anagawa namba ya simu mbele yako kwa mawasiliano zaidi,bila ya kushirikishwa. huyo mwanaume angekuwa hayupo kipindi wanapeana namba hapo kweli, ila kwasababu alikuwepo alitakiwa kushirikishwa.
mmmhh jamani mie hapo hata sioni tatizo..
Ha, maskini umetoa ile avatar, ilikuwa nzuri sana
Pole!Mwambie apumzishe mdomo na wewe unahitaji mapumziko kidogo!wanawake ndiyo chanzo cha tatizo kwenye ndoa always unashangaa unapomuoa anakua mpole sana baada ya kuwa ndani ya ndoa nae anataka aitwe baba sasa!anaanza dharau!!!!kila unachomwambia anakuona mjinga yaani unaweza kulala hata sebuleni sababu ya uvuvuzela uliopo nyumbani kwako tabu tupu!!!!huwa napenda sana kukesha kwenye mabaa hasa kipindi cha kombe la dunia kukimbia makelele!tabu tupu
Kwa mawazo yangu, wanawake ndio wanaleta hii tafurani, hivi nyie mwishakutana na mwanamke hata kuongea na mtu uliyesoma naye hataki, hacha marafiki wa kiume ambao anasema ndio makwadi. The main problem sio kwa mtu binafsi but kwa tabia za watu wote wanaume na wanawake. Wanawake wanatakiwa kujikomboa kwanza na kuacha kufikiri kuwa akiolewa mwanaume anaacha kuwa na marafiki even differenet sex as long they don't have love relationship. Then I think huyo mwanaume asingefikia hapo kama na yeye angekuwa huru to that extent. But the mistake he made was involving other persons in his business, yeye angemalizana na mke wake then yakaisha.
wanawake ndiyo chanzo cha tatizo kwenye ndoa always unashangaa unapomuoa anakua mpole sana baada ya kuwa ndani ya ndoa nae anataka aitwe baba sasa!anaanza dharau!!!!kila unachomwambia anakuona mjinga yaani unaweza kulala hata sebuleni sababu ya uvuvuzela uliopo nyumbani kwako tabu tupu!!!!huwa napenda sana kukesha kwenye mabaa hasa kipindi cha kombe la dunia kukimbia makelele!tabu tupu
nitautafuta huo wimbo sijausikia man!ila kweli naongea sababu yamenitokea kila nikijitahidi nikae kimya nakuta ananichokoza yaani kwa wale ambao hawajaoa nashauri wawe makini sana na kuoa kwani ndoa ndoano!zinatesa maana hata mimi nilingangania maana mabro walinambia maliza kabisa mambo yako ya ujana uje uoe baadae nikasema mie nataka kuoa kumbe walishaona mapema yaani ukiwa nje unatamani kuoa na ukiwa ndani ya ndoa unatamani kuwa nje ya ndoa!Duh, Kilimasera umepata kusikia wimbo wa Bongoflavor uitwao VUVUZELA?
mstari mmojapo unasema hivi "sitaki kurudi nyumbani mapema naogopa eeeh Vuvuzelaa, Penzi langu lipo mashakani mimi, vuvuzeeela..."
and then anabwagiza kama hivi ..... "vuvu vuvu zeeela...." Embu kitafute kibao hiki bana
wanaume wengi wa kibongo huwa ni ngumu sana kuzuia palepale sijui hata kwanini!!!tunapenda kulalamika pembeniKwani namba zote za kwenye phonebook ya mkewe anazijua?
Basi tu kajisikia kumsumbua mkewe, angemzuia palepale asitoe namba,sasa ameshachelewa!
Kujua kuwa mwanaume ana wivu wa kitoto au kumlaumu mwanamke inabidi tuangalie maisha yao zaidi kuanzia jinsi walivyokutana. Huwezijua labda siku ya kwanza huyo mume wake alipomtokea alimkuta huyo mwanamke na mwanamme mwingine naye akaomba namba ya simu, sasa jamaa anaona kama vile mkewe ni mrahisi kwa kuwa na yy alimpata kwa njia hizo hizo. Kuna scenario nyingi hapa
inawezekana lakini kwa mfano wewe ukigundua hilo kwamba mke wako ana tabia ya kugawa namba zake za simu utamfanyeje??
Hapo itategemea na hulka yangu na mazoea niliyojijenga naye. Mimi binafsi mke wangu nilishamwambia kitambo sana tangia tuko boyfriend na girlfriend kuwa spend kabisa hiyo tabia, lakni mwingine anaweza chukulia poa, na wengine huwa hawaulizani kabisa habari za simu, hata mmoja kugusa simu ya mwenzake ni mwiko