kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
nadhani alitakiwa kumshirikisha mumewe katika hilo bila ya kukurupuka, kila mtu analinda mali yake bwana,bora uitwe haujiamini kuliko ukajifanya unajiamini halafu watu wanakuona b.w.e.g.e.
nimefikiria ingekuwa mimi ingekuaje? bwana ako anaomba namba ya simu au anagawa namba ya simu mbele yako kwa mawasiliano zaidi,bila ya kushirikishwa.
Wanawake wa Tanzania mtajikomboa lini na hivyo vijidume vyenye wivu wa kitoto kiasi hicho? A man shouldnt be a cry baby.That behavior suit better to women.
tusimlaumu sana huyu mwanaume yeye ndo anajua tabia za mkewe jamani!! Huenda ana ka tabia kabaya
hopeless man