Ajiuzulu baada ya kuajiri mtu asiye na kibali cha kuishi UK, Mawaziri wetu huu ndio uwajibikaji.

Ochutz

JF-Expert Member
May 21, 2011
465
105
Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper, amejiuzulu baada ya kujulikana kuwa amemuajiri mtu asiyekuwa na kibali cha kubaki nchini.
Alieleza kuwa alidanganywa na mwanamke mmoja aliyemuonesha nyaraka za bandia, alipomuajiri kusafisha nyumba yake.

Bwana Harper alisema kwa sababu alichangia kupitisha bungeni sheria ngumu kuhusu uhamiaji, alihisi inambidi kuwajibika zaidi kushinda wengine.
Chama cha Conservative kimeahidi kupunguza idadi ya watu wanaohamia Uingereza kutoka malaki na kuwa elfu kadha tu.

CHANZO BBC Swahili : Waziri wa uhamiaji wa Uingereza ajiuzulu - BBC Swahili - Habari
 
Ogopa ngozi nyeusi na tumbo kubwa makongoro mahaka kafanya kazi na secretary wake kwa miaka kumi hajampa mkataba wa Akira ikiwa yy ndo waziri mwenye dhamana hiyo kapelekwa cma bado tu hajachukua hatua'kama waziri anavunja sheria anazozisimamia itakuwaje kwa wageni'na hatua hajachukuliwa na jk kamrudisha kwenye nafasi hiyo hiyo hapo mnategemea watu wawajibike ilihali wakiteuliwa wanafanya sherehe kubwa bilan kujua cheo ni dhamana.yaani mtu angejua ninavyoyachukia haya ma ccm asingeleta hii mada
 
Tanzania unaweza kupora mke wa mtu na bado unaendelea kuwa kiongozi.
 
tanzania unaweza kupora mke wa mtu na bado unaendelea kuwa kiongozi.

tanzania ni nchi ya ajabu magaidi kama mwigulu wanapewa unabu uwaziri kama zawadi ya kuwauwa wapinzani kwa risasi na mapanga ha ha ha kwi kwi kwi!!!!!!!
 
Tanzania unaweza kupora mke wa mtu na bado unaendelea kuwa kiongozi.

Tanzania wanaoongoza genge la waua tembo mbugani wanakabidhiwa kuwa mameneja kampeni za urais na hata kuwa Makatibu wakuu wa vyama vya siasa.
 
tanzania ni nchi ya ajabu magaidi kama mwigulu wanapewa unabu uwaziri kama zawadi ya kuwauwa wapinzani kwa risasi na mapanga ha ha ha kwi kwi kwi!!!!!!!

Tanzania inapotokea mambo kukuharibikia basi ni kwenda kwa waganga wa kienyeji kutambika na wengine kwenda kutambika makaburini.
 
Tanzania unaweza kupora mke wa mtu na bado unaendelea kuwa kiongozi.

Mke si rasimali za nchi, mbona hivyo? unaweza comment nini juu ya hatima na ari mpya kasi mpya na maisha bora kwa watz wote?
 
Tanzania unaweza kupora mke wa mtu na bado unaendelea kuwa kiongozi.

Mke wa mtu??? Rasilimali binafsi??
Unauwa watu, unahujumu uchumi unaotegemewa na watu 50m na bado unazunguka nchi nzima kwa support ya Chama cha Mizigo na wafuasi wake
 
Hvi kama kunawaziri wa uhamiaj uK kwanini nasisi tusiwe nae maalum kwa wachna napakistan
 
Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza Mark Harper amejiuzulu wadhifa wake serekalini baada ya kuajiri mfanyakazi wa nyumbani ambaye hana uhalali wa kuwa Uingereza. Hii ni kutokana na msimamo wa Conservative kuhusu sera zao za kupunguza idadi ya watu wanaohamia na kubakiza wachache!

Ni kinyume kabisa na sera za hapa kwetu ambapo Waziri yeyote hawezi kuchukua hatuaya kujiuzulu hata kama atakuwa amesababisha maafa gani kwa waTanzania. Je huu ni mfano wa kuigwa sasa kwa Tanzania yetu?
Kwa nini Viongozi wa Tanzania huwa hawakubali kujiuzulu mpaka wawajibishwe?
Nawasilisha
 
Ogopa ngozi nyeusi ina laana ndo maana yanasema mahaka ya icc imewekwa kwa ajili yao
 
Kiongozi anaweza kumfunga mtu maisha! kisa kugombea mademu! Wakati mademu wamejaa teleeee! Maskini babu seya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom