Ajirusha kutoka gorofani jijini Kampala, Kisa kakosa ajira

Hii picha ya siku nyingi, ilitokea Kampala Uganda, hilo jengo linaitwa MABIRIZI COMPLEX, Google uone,
Jengo la red cross pale Bibi titi karibu na NSSF ni refu zaidi ya hili.acheni kuzusha.
 
Hapo ni ndugu yangu hilo ni jengo la Red cross linatazamana na bibi titi mohamed road na jamaa kapona anabedi akatoe sadak baado siku yake
Kamfanyieni kwanza CT Scan ndiyo mtajua kama hakupata mtikisiko wa ubongo na mtalea taahira for the rest of his life. Ni mapema sana kusema amepona. Subirini vipimo? Kwa impact hiyo ni lazima kutakuwa na mtikisiko wa ubongo, moyo, mapafu, yaani kila kiungo cha mwili wake.
 
Jana jama ajirusha toka gorofani kisa mapenzi jijini Kampala na hakukufa bado yuhai. Wanawake mutatumaliza

Jamaa kafanya maamuzi magumu, kaenda kazini kwa msichana wake na kumuuliza mbona mapenzi yetu yanayumba na hatuko sawa, msichana kamjibu sikupendi na sikutaki.

Katoswa baada ya kusomesha tangu form 4 mpaka chuo.
View attachment 394098
View attachment 394185

==========


Joram Mukasa, a graduate of Bachelor or Arts in Arts from Makerere University may be cursing the gods. The young man who has been unemployed for some good time climbed to the top of Mabirizi plaza with an aim of committing suicide. Unfortunately, despite jumping from metres high, he failed to die.

Onlookers rushed him to Mulago hospital. Others were of the view that he should be left to die in his movie since his intention is death.


Chanzo: Unemployed Makerere Graduate Tries To Commit Suicide, Fails To Die [Photos] - Campus Eye

Haa hilo ghorofa mbona kama la tanesco ubungo!!!
 
Kaharib gar ya watu na fikiri hii gari ndio imemsaidia

Ndio huyo na hapo ni Dar
1473090186756.png
 
Hata kama kapona,lakizi akili lazima zinok.
Sipati picha pale alipokuwa angani,roho kutoka noumaaa,naona alitamani kurudi juu bila mafanikio.
Bora angekufa,maana hana future tena,na maisha yake lazima yawe tata,kudata lazima kwa level hiyo,na kama kapiga kiuno chini na oblongata basi lazima Nguvu za kiume waziboost
unawaza ngono sana dada,
 
Hii taarifa mbona siielewe kwenye fb wameandika jamaa kajiua kutokana na kukataliwa na msichana aliye msomesha kuanzia form 4
 
Back
Top Bottom