Ajirusha kutoka gorofani jijini Kampala, Kisa kakosa ajira

Mr Mikazo

JF-Expert Member
May 26, 2016
1,580
780
Kijana Joram Mukasa ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Sanaa kutoka Chuo Kikuu cha Makerere amejirusha kutoka juu ya ghorofa lijulikanalo kama Mabirizi plaza akidhamiria kujiua kwa kukosa ajira.

Pamoja na kujirusha huko hakufariki na sasa yuko hospitalini akiuguza majeraha. Watu walioshuhudia tukio hilo wamelaumu waliomsaidia na kusema angeachwa atimize azma yake.

1473080704522.jpg


4f06a410-ca97-4d65-8a20-09a1f01a242f.jpg


==========


Joram Mukasa, a graduate of Bachelor or Arts in Arts from Makerere University may be cursing the gods. The young man who has been unemployed for some good time climbed to the top of Mabirizi plaza with an aim of committing suicide. Unfortunately, despite jumping from metres high, he failed to die.

Onlookers rushed him to Mulago hospital. Others were of the view that he should be left to die in his movie since his intention is death.


Chanzo: Unemployed Makerere Graduate Tries To Commit Suicide, Fails To Die [Photos] - Campus Eye
 
Hata kama kapona,lakizi akili lazima zinok.
Sipati picha pale alipokuwa angani,roho kutoka noumaaa,naona alitamani kurudi juu bila mafanikio.
Bora angekufa,maana hana future tena,na maisha yake lazima yawe tata,kudata lazima kwa level hiyo,na kama kapiga kiuno chini na oblongata basi lazima Nguvu za kiume waziboost
 
Jana jama ajirusha toka gorofani kisa mapenzi jijini Kampala na hakukufa bado yuhai. Wanawake mutatumaliza

Jamaa kafanya maamuzi magumu, kaenda kazini kwa msichana wake na kumuuliza mbona mapenzi yetu yanayumba na hatuko sawa, msichana kamjibu sikupendi na sikutaki.

Katoswa baada ya kusomesha tangu form 4 mpaka chuo.
View attachment 394098 View attachment 394099

Mkuu hiyo picha ya pili mbona kama kunamtu aliichukau wakati jamaa anajiandaa kuruka.....?!!!
 
Huo ni uongo. Kwanza wakati anaruka nani alimpiga picha? Halafu umbali huo wa urefu wa ghorofa si rahisi mtu aruke halafu asife.
 
Hapo sio dar hilo tukio limetokea mjini kampala uganda mtoa mada umepotosha kuhusu eneo la tukio
Hapo ni ndugu yangu hilo ni jengo la Red cross linatazamana na bibi titi mohamed road na jamaa kapona anabedi akatoe sadak baado siku yake
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom