Hii tabia ni mbaya sana na itadiscourage watu kuwapa taarifa wengine, kama wewe umeshaona pita zako kuna wengine wengi wnahitaji hiyo taarifa.Sijaipenda hata kidogo,hacheni hizo
"Anayemdharau mwenzake hana akili kabisa"
sio wote wanauwezo kama wako wakununua gazeti!ukitumia lugha tata kama hizo mtu anaweza kwazika kutuwekea matangazo humu ndani,Maana yeye hapati faida yoyote akiweka thread hapa!