Ajira zimekuwa ni lazma wanawake waajiriwe weng kuliko wanaume

0036 savage

Senior Member
Apr 30, 2019
190
237
Kuna agenda sjui maelekezo sikuiz ajira zimekuwa ni lazma wanawake waajiriwe weng kuliko wanaume hata kama huko kwenye kaz sio watendaji wazur had kaz ngumu madem wanapewa sana ajira yan imefikia kipind ukiwa kwenye (interview) na madem bas unajua kabisa utoboi nina kama wik tatu naona madem weng bandarini wamepata ajira.kuna meng ya kuoji walifanya usahil lini na walitangaza lini hizo nafasi lakin madem ni weng mnooo nimeona washikaj kama wanne madem kama 30 hili linanifanya niwe na waswas kuhusu kulazimisha 50/50; sasa itakuwa 95/5 mda sio mrefu hili limezid kwakwel.
 
Tembelea mashuleni au sehemu za huduma ya afya iwe private au government wanawake huwa wengi na ratio huwa 1:5
 
Huu uandishi wako wa kuacha baadhi ya herufi inaonesha wazi kwamba hata kwenye kazi huko 'serious'...ni mtu wa kulipua lipua, bora liende.

Kwa wanaume wa aina hii mtapigwa kumbo sana na akina mama.
Uandishi maana yake nini?
 
Ma hechi Ara wengi ni wanaume so karushwa ka papuchi lazima kwenye usaili sasa wewe kidume utaofa mtaro wa maji machafu na kisamnvu Cha karanga mbichi
 
Huu uandishi wako wa kuacha baadhi ya herufi inaonesha wazi kwamba hata kwenye kazi huko 'serious'...ni mtu wa kulipua lipua, bora liende.

Kwa wanaume wa aina hii mtapigwa kumbo sana na akina mama.
Nakazia
 
Kuna Tajiri mmoja Transporter....kasema madereva kwa sasa ameona ni vyema awa ajiri wanawake...ni waaminifu hawana mambo mengi barabarani...
 
Kuna baadhi ya waajiri wanapenda sana wanawake. Sababu wanaridhika na vitu vidogo vidogo na sio wasumbufu kazini kama wanaume hasa kwenye kazi zinazohitaji smart brains.

Kwa mfano PWC Tanzania wakaguzi wao wa hesabu na watu wao wa tax wamejaa wanawake tu. Wanaume wanaajiri wachachee.. sababu wadada vichwa hawanaga mambo mengi kama wanaume vichwa.

Mdada best brain ukimuajiri una uhakika wa kukaa nae kazini miaka kibao. Mfano CEO wa sasa NMB ruth amekaa PWC miaka 10. Ila sasa ukimuajiri mwanaume best brain hatulii siku yoyote anaacha kazi kwako na kwenda kwingine
 
Dunia ya sasa ukitaka kufanikiwa chap na haraka kuwa Mwanamke au Shoga, kwa sababu hawa watu wanapewa kipaumbele sana.

Mbali na hayo wanaume sikuhizi tumekua laini sana na hatupo makini katika kutimiza mambo kama kipindi cha nyuma, wengi wetu tuna endekeza ngono, pombe, sigara na uchafu mwengine.

Kama unataka kazi kuwa bora zaidi ya hao wengine simaanishi uwe binadamu bora. hapana, namanisha kuwa mchapa kazi, weka bidii, nidhamu nk.
 
Back
Top Bottom