teachers record
New Member
- Nov 16, 2016
- 2
- 0
Ebu! Nifafanulieni hizi ajira zilizotoka zinawahusu wakina nani tu?
Ni hatari sana na wa biashara kwishneyHatari! Wale wa kujieleza wakafie mbali
Nalifahamu hilo mkuu ndio maana nasema hongera waliosoma sayansi na hesabuTaifa haliitaji sanaa, tunahitaji viwanda
Ebu! Nifafanulieni hizi ajira zilizotoka zinawahusu wakina nani tu?