Ajira za walimu

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,645
6,821
Naombeni kueleweshwa kuhusu taarifa zilizosikika kwenye vyombo vya habari kuhusu ajira 23,000 za walimu kuwa wataajiriwa kwenye bajeti ya mwaka 2012/2013,
je ni za hawa 23700 walioahidiwa kuajiriwa kuanzia trh 15 nov 2011 ndio wamesogeza mbele na kupunguzwa au?
 
Subiri mpendwa mwalimu! Angalia uwezekano wa ajira private xuls.
 
serikali haina hela... kwa taarifa yako hata mishahara saivi tunalipwa kwa miujiza ya mola.... na watunishi wengina wanapata pungufu.. kama vip nenda Darfur.. kajitoleee..nchi hii ishauzwa
 
Ajira mwaka huu hazipo, fungueni tuition na wengine private, serikali kwa sasa inabajeti ya kuongeza posho za wabunge na kugharamia maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru.
 
Walim msijal.ajira ipo njian iankuja yenyewe!.sema tu inabid kuwa wavumilivu kdgo hadi july mwakani.yaan mwaka mmwingne wa fedha, coz asaiv gvnt imechoka.unajua ni miaka 50 hii ya UHURU na .................. n do vimechangia kucheleweshwa kwa ajira kidogo.ila msijali
 
Oya mwana!! January 2012, upo hapo mkuu!! kuwa na subira bana wewe vp?.
 
Wanaosoma vyuo vikuu, walimbikize bumu la kuvutia kasi mtaani, hali ngumu ati! tumerudi enzi za kusubiri ajira. swali: je bodi ya mikopo watakataje fedha wakati watu wenyewe hawaajiriwi, haya si matumizi mengine mabaya ya rasilimali watu?
mtu kwao!!!!!!!
 
mkuu kuna mgomo wa nchi nzima hawajalipwa mafao yao na wewe unataka kuingia humohumo ndugu tafuta shule za private na watoto wa shule za kata uwe unawafundisha tuisheni sawa mkuu..

mipango miema ya ualimu..
 
serikali haina hela... kwa taarifa yako hata mishahara saivi tunalipwa kwa miujiza ya mola.... na watunishi wengina wanapata pungufu.. kama vip nenda Darfur.. kajitoleee..nchi hii ishauzwa

mkuu ungeanza wewe halafu ukaleta ushuhuda jamvini sawa..:shock:
 
Kama walimu wapo alafu mashuleni ni hawapo ama ni pungufu serikali imeshindwa kuwaajiri basi tena serikali hatunayotena na Tz kuendelea ni ndoto kwani maendeleo ya nchi yoyote inatokana na investment kwenye elimu na kama sivyo tutakuwa na taifa la wajinga wasioelewa chochote
 
Auuuwi!, auuuwi!, njaaaa! Na mimi ni tcher nondo kinoma, private wanataka kujua serikali imetangaza post kwanza ndo wasain mkataba na siyo kusain kabla ya gov post, eti tutatoroka. Auuuwi, SHUKURU kawamwa jk, na shukuru kawambwa cchukii damu zenu ila cnto juta wala ncngalijuta mcngaliluwapokabisa duniani! Auuuuwi!, nakufaaaa njaaaa. Kwish
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom