arusha nalompa
Member
- Aug 4, 2016
- 83
- 37
Ajira rasmi mwezi november
sihangai kuona unaongea hiviAjira rasmi mwezi november
Toa maelezo plz..Ajira rasmi mwezi november
November mkuu endelea kufanya mambo yakoBado mna matumaini tu!!!!
Kweli wabongo mnajua kuvumilia.
Bado unawaamini wanasiasa??November mkuu endelea kufanya mambo yako
Mkuu kasema mwez nov.wakurugenzi watume maombi ya watumishi naowahitaji...ninavoona mm hapo ajira hadi mwakani.Nimesikia wazir mwenyezamana kasema hivyo juz Dodoma alipokua anawaapisha wakurugenz wale 13.sina hakika lakini
Sasa kama november,wakt dec shule zinafungwa huoni kwamva inshu ni mwakani jan or Feb,wameshiba hao hawamjui mwenye njaa,but nitashangaa 2020 kura tutawapa na kusahau msoto wote huu,poleni,tulipowaambia mchague chdm,mkatuona wajuzi leo mnakubali kimya kimyaAjira rasmi mwezi november