Mkuu ningeambiwa nimchague mlinzi wa hili jukwaa ningekupatia kura zote [emoji1][emoji1]TULIA HAKUNA AJIRA SERIKALI HII NDOO MJIFUNZE KUWA CCM NI ZOMBI
Ulitaka aandike nini hapo? Unajua maana yake ya kuandika hivo? Kama hajaeleweka umepata wapi ya kuchangia.Kama Mleta mada ni Mwalimu mtarajiwa basi Innah linnah wa rinah Rajiun, Naiombea dua ELIMU yetu imeshafariki.
Bora wanangu niwafundishe mwenyewe kuliko kufundishwa na watu kama Mleta uzi.
Ajira za ualimu TAMISEMI wajitokeze water msimamo mmoja kama zipo au hazipo ili walimu wahitimu hawa wajue moja. Kukaa kimya hawajawatendea haki wadogo zetu.
Integration of education in politics is a huge catastrophe that is affecting and will still being affecting our education system. This gonna create ignorant societies in Tanzania.
Our president has good intention though has advisors who have outdated mind
uko sawa, ila kwenye hilo la kumfundisha mwanao acha acha kabisa...utaharibu kabisa. hauna cha ziada kumzidi mleta mada.Kama Mleta mada ni Mwalimu mtarajiwa basi Innah linnah wa rinah Rajiun, Naiombea dua ELIMU yetu imeshafariki.

uko sawa, ila kwenye hilo la kumfundisha mwanao acha acha kabisa...utaharibu kabisa. hauna cha ziada kumzidi mleta mada.
nimezingatia zaidi content ya reply yako!
Kati ya watu wakurupukaji, wewe ni mkuu wao. Ama ulitaka nitangaze ajira, kwani mimi ni TAMISEMI..?Kama Mleta mada ni Mwalimu mtarajiwa basi Innah linnah wa rinah Rajiun, Naiombea dua ELIMU yetu imeshafariki.
Bora wanangu niwafundishe mwenyewe kuliko kufundishwa na watu kama Mleta uzi.
Ajira za ualimu TAMISEMI wajitokeze water msimamo mmoja kama zipo au hazipo ili walimu wahitimu hawa wajue moja. Kukaa kimya hawajawatendea haki wadogo zetu.
Integration of education in politics is a huge catastrophe that is affecting and will still being affecting our education system. This gonna create ignorant societies in Tanzania.
Our president has good intention though has advisors who have outdated mind
Hapo umenena sasa tusiishie kuongea tu inabidi actions ziwepo....WALISEMA TULIISHI MIAKA KUMI BILA RAIS(RAIS ZERO), SASA MIMI NAONA MUDA HUU TUNA RAIS NEGATIVE KABISA. BORA HATA KUA NA ZERO
were jamaa siku wakitoa hizo ajira uje kutengua hiyo kauli yako.nahuenda hiyo serikali unayoita ya mazombi wamekuajiri.TULIA HAKUNA AJIRA SERIKALI HII NDOO MJIFUNZE KUWA CCM NI ZOMBI