nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,514
anaota akiwa anaota. kesho yake anawahadithia watu kua, jana nliota nmelala. ktk ndoto hio ya kulala nkaota natembea na nlipochoka nkalala. nlipolala tena nkaota nakula.ni bora ukaota ndoto ila kuota ukiwa ndotoni ni taabu kwelikweli!!
...teh teh teh...ndoto ya ndotoanaota akiwa anaota. kesho yake anawahadithia watu kua, jana nliota nmelala. ktk ndoto hio ya kulala nkaota natembea na nlipochoka nkalala. nlipolala tena nkaota nakula.
Sio bangi mkuu, ni ndoto kama ndoto nyingine [emoji28] [emoji28] [emoji28]bangi siyo mchicha bangi hatareeee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hapana mkubwa, hiyo mishahara itakuwa ndoto ya jiranipia naskia uliota mishahara nayo itatolewa tarehe hizo hizo ili watu wawe bze kwenye mambo ya fwedha...
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji16] daah kweli hii ndoto mpaka unaota na mineno ya ccmSio bangi mkuu, ni ndoto kama ndoto nyingine [emoji28] [emoji28] [emoji28]