hawajatoa majina bali wamesema kua hao wa sayansi na hesabu watume maombi wakiambatanisha na vyeti vyao ktk info@moe.go.tz na mwisho ni tar 16 hii inawahusu wale waliomaliza 2015 ngazi ya stashahada na shahada....majina yamewekwa tovuti ipi
duuuuh mi nawaza na kwa wale wa certificate ( grade A) cjui itakuwajekama ni kweli basi tena Sanaa waifute nchini
Acha uongo.... Mgefahamu kama mnatafutwa nyie mliobuni tangazo msingeongelea hilo suala....
Mkuu nendaKunaukweli jamani hapa?