Huu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe, ila hadi Leo mwaka unaisha hatuelewi interview itakwepo au laa, tunapeana tu propaganda mara, Tamisemi mara sekretarieti,wanatuumiza sana, wangetuweka wazi tu, roho zitulie