Serikali kuweka majina wazi ya walimu wapya muda wowote kuanzia sasa. Chanzo:Katibu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi,Prof.SIFUNI MCHOME katika kipindi cha HOT MIX - EATV.

Ni kama sijapata habari yenye matumaini hapo. Suala la ajira kutolewa muda wowote kutoka sasa(siku isiyo na jina) kila mmoia analijua hilo...... Sijapata wazo jipya kutoka kwenye hayo maelezo!!!! Kuna ufafanuzi gani alio utoa!????
Ni kama sijapata habari yenye matumaini hapo. Suala la ajira kutolewa muda wowote kutoka sasa (siku isiyo na jina) kila mmoia analijua hilo...... Sijapata wazo jipya kutoka kwenye hayo maelezo!!!! Kuna ufafanuzi gani alio utoa!????
Ni kama sijapata habari yenye matumaini hapo. Suala la ajira kutolewa muda wowote kutoka sasa(siku isiyo na jina) kila mmoia analijua hilo...... Sijapata wazo jipya kutoka kwenye hayo maelezo!!!! Kuna ufafanuzi gani alio utoa!????
Katibu amefafanua kidogo,amesema suala la kuajiri walimu wa shule za sekondari lipo chini ya TAMISEMI na tayari tamisemi imeshawapangia halimashauri ambazo walimu wapya wataenda kuripoti.

Mkuu, kuhusu TAMISEMI tunajua, kuhusu kupangiwa halmashauri liko obvious!! Hoja hapa ni lini majina yatawekwa hadharani!??? Nilikuwa nadhani kama kiongozi kutoka serikalini hakutakiwa kutuletea taarifa ambayo haina deadline!!! Pengine angesema wakati wowote kabla ya tarehe Fulani au kati ya tarehe fulani mpaka tarehe fulani, kwa kuzingatia mwezi tajwa.............. Lakini hiyo ya kusema wakati wowote kuanzia sasa......... Inaweza ikawa kuanzia sasa mpaka may labda!!!!