Ajira za walimu mwaka huu

Ajira za walimu mwaka huu

Mwaka wa fedha ulioisha haujaajiri! Sijui na huu utaunganishwa? Maana haifahamiki bajeti ya ajira kwa mwaka wa fedha ulioisha ilitumika vipi, na hapa ndo tunakaribia nusu ya mwaka huu wa fedha.
 
Mkulu anasema anabana matumizi cjui anatumia na nani? Siasa mchezo MCHAFU sana!
 
Unapowaambia vijana wajiajili ww jiulize kwanza umewawezesha wangapi ktk hiyo kazi unayosema wakajiajil au ndy upo ofsn na kiti cha kuzunguka huku unasema vijana wajiajili,
kama unasubiri kuwezeshwa ndo ujiajiri kwa hii nchi yetu utangoja sana na utabaki kulalamika hadi unapopokea mafao na kua broke maana kujiajiri hakukwepeki either sasa au ukipokea mafao
 
Hv ulieajiriwa uktolewa leo kwenye ajira utajiajir au ndo utakuwa hovyo kuliko hata wasio na ajira sasahv? Kujiajir kaz kuliko kuajiriwa!
kweli kujiajiri ni process ngumu sana unapoanza ila ukiweza kumaster mwanzoni baadae rahisi
 
kama unasubiri kuwezeshwa ndo ujiajiri kwa hii nchi yetu utangoja sana na utabaki kulalamika hadi unapopokea mafao na kua broke maana kujiajiri hakukwepeki either sasa au ukipokea mafao
Unajua unaboa Sana. !! Ivi wewe hapo ulipo umefika Bila kuwenzeshwa???! Acheni unafiki. Huyo Mengi, MO dewej bakharesa hao wote waliwezeshwa NDO wskafikia wskafikia hapo. Hata Donald Trump naye aliwezzeshwa. ACHA UNAFIKI WEWE
 
bwana mdogo sijawahi kuwezeshwa hata senti tano na ndugu wala mzazi wala serikali wala jamaa yoyote na nmetokea kwene familia yenye umaskini wa kutosha sanaaaa but now nimejiajiri vizur kabisa bila tatzo nadhani ingekua busara ukauliza niliweza vipi katika nchi hii iliyojaa vikwazo kuliko ulichofanya
 
ACHA huongo wewe. Kwani umedondoka toka mbinguni mbinatsi??
 
Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara

Hao waliopo serikalin wenyewe hawajawahi kujiajiri tangu wamezaliwa had wanaelekea kustaafu
Unadhan kujiajiri ni suala la ki mchezo mchezo.

Ujiulizi kwa nini maduka yanauza vitu vya serious vya production kama vile mashine za mbao ni raia wa kigeni ?
 
ACHA huongo wewe. Kwani umedondoka toka mbinguni mbinatsi??
bwana mdogo naona najaribu kuwasiliana na mtu uliye na uelewa mdogo nachomaanisha ni kua katika harakati zangu za kujiajiri sikuwahi kupata backup ya lolote toka kwa hao nliowataja sasa sijaelewa argument yako ni nn hasa maana naona na mada za ndugu na wazazi zinaanza ...kama hawakunsaidia in process unataka nkujaze uongo kua walihusika?
 
Hongera . ila jua kuwa hakuna mtu aliyeanza kujiajiri Bila assistance
 
Back
Top Bottom