Ajira za walimu mwaka huu

Ajira za walimu mwaka huu

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
838
Reaction score
496
Uhakiki rasmi unaisha lini?
Au shida siyo uhakiki?
Lini tunawekwa wazi?
Kuachwa hewani bila taarifa rasmi ni hatari kwa afya ya wahitimu!
Tutakanushiwa hadi lini jamani!!
 
Hapo ndipo Yale maneno ya wataisoma namba yanatimia
 
Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
 
Unapowaambia vijana wajiajili ww jiulize kwanza umewawezesha wangapi ktk hiyo kazi unayosema wakajiajil au ndy upo ofsn na kiti cha kuzunguka huku unasema vijana wajiajili,
 
Hv ulieajiriwa uktolewa leo kwenye ajira utajiajir au ndo utakuwa hovyo kuliko hata wasio na ajira sasahv? Kujiajir kaz kuliko kuajiriwa!
 
ushawahi fikiri kitu tofauti na kilimo changanya ubongo acha kuwa mtumwa wa mawazo ya watu
Hiyo ndio njia rahisi na inahitaji mtaji kidogo ukicompare na kazi nyingine kama biashara!
kwani wewe ulikua unategemea ufanye nini huku mtaani
 
Back
Top Bottom