A anuary salum Member Joined Dec 7, 2012 Posts 70 Reaction score 4 Dec 12, 2012 #1 naombeni mwongozo wa swala hili kwani linanitatiza kila siku my fellows. Attachments TAWHEED.jpg 48.6 KB · Views: 635
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Dec 13, 2012 #2 unataka kuwahi kazzi ya kuhesabu kura 2015
A Anuary Da Handsome'b Member Joined Dec 16, 2012 Posts 83 Reaction score 7 Jan 6, 2013 #3 taamu said: unataka kuwahi kazzi ya kuhesabu kura 2015 Click to expand... Ndo Manaake.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jan 6, 2013 #4 Hiyo picha ina maana gani maana naona wapiga picha wengi,,,,,haiendani na heading
M Mzee wa fund JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 514 Reaction score 90 Jan 6, 2013 #5 Unazumgumzia level gani?grade A,diploma au degree?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jan 7, 2013 #6 MadameX said: Hiyo picha ina maana gani maana naona wapiga picha wengi,,,,,haiendani na heading Click to expand... Nadhani ameona aweke na picha ya shule anayotaka kufundisha ili kuweka msisitizo
MadameX said: Hiyo picha ina maana gani maana naona wapiga picha wengi,,,,,haiendani na heading Click to expand... Nadhani ameona aweke na picha ya shule anayotaka kufundisha ili kuweka msisitizo