Ajira za walimu danadana mpaka lini!!?

Ajira za walimu danadana mpaka lini!!?

Justine Maluxury

New Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Ikumbukwe kua naibu waziri wa elimu mh. Mulugo alisistiza kua ajira za walimu zitatolewa mnamo mwezi wa kwanza mwanzoni na akadai kua kila ki2 kiko tayari wakati akihojiwa na kipindi cha dkka 45 cha Itv, maneno kama hayo aliyasema kwny mahafali ya chuo cha TUMAINI. Hadi leo hii hakuna chochote!!
 
Back
Top Bottom