ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,526 Reaction score 15,568 Aug 26, 2016 #2 Mantiki ya hii picha ipo nyuma ya mgongo wa dogo aliyesimama...ana hatari ya kulipukiwa na bom kabla ya september mosi.
Mantiki ya hii picha ipo nyuma ya mgongo wa dogo aliyesimama...ana hatari ya kulipukiwa na bom kabla ya september mosi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 27, 2016 Thread starter #3 CHARMILTON said: Mantiki ya hii picha ipo nyuma ya mgongo wa dogo aliyesimama...ana hatari ya kulipukiwa na bom kabla ya september mosi. Click to expand... Ndio maisha ya uswazi hayo
CHARMILTON said: Mantiki ya hii picha ipo nyuma ya mgongo wa dogo aliyesimama...ana hatari ya kulipukiwa na bom kabla ya september mosi. Click to expand... Ndio maisha ya uswazi hayo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,898 Reaction score 55,865 Aug 27, 2016 #4 Hapo ni kuanza majukumu mapema, usishangae kumkuta viwanja na sista du ukadhani ni dada yake kumbe ni mwandani wake
Hapo ni kuanza majukumu mapema, usishangae kumkuta viwanja na sista du ukadhani ni dada yake kumbe ni mwandani wake
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,677 Aug 27, 2016 #5 Picha imenisikitisha sana. Huyu mtoto anaandaliwa kuwa nani?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 27, 2016 Thread starter #6 Bujibuji said: Picha imenisikitisha sana. Huyu mtoto anaandaliwa kuwa nani? Click to expand... Shuttered future?[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Bujibuji said: Picha imenisikitisha sana. Huyu mtoto anaandaliwa kuwa nani? Click to expand... Shuttered future?[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Aug 27, 2016 #7 So Sad yani