Ajira za Ualimu zinatoka lini?

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,182
Jamani kama kura zenu nimewapa tena bila kuwachanganyia. Naomba mniajiri sasa maana maombi nilituma tena licha ya kuwa na shahada niliomba kufundisha vidudu yaani shule ya msingi.

Naomba msinicheleweshee sana jamani maana nitaenda kujimaliza kisaikolojia maana ninasongwa sana na mawazo.

Nimejiajiri sana lakini sitoboi nipeni ajira nikakope benki nijenge maana umri unanitupa mkono na naishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa.
 
Hahahahahaha! Tulia nchi itulie kwanza. Afu usitegemee sana hizi ajira unaweza ukakosa pia. Fanya mambo mengine na usahau KBS kama uliomba kazi.
 
Dogo tulia! bwawa la umeme, sgr, ndege havijakamilika, pia tumeahidi kubadili jiji la arusha kuwa califonia tukimaliza ndio tutaajiri!
 
Jamani kama kura zenu nimewapa tena bila kuwachanganyia. Naomba mniajiri sasa maana maombi nilituma tena licha ya kuwa na shahada niliomba kufundisha vidudu yaani shule ya msingi.

Naomba msinicheleweshee sana jamani maana nitaenda kujimaliza kisaikolojia maana ninasongwa sana na mawazo.

Nimejiajili sana lakini sitoboi nipeni ajira nikakope benki nijenge maana umri unanitupa mkono na naishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa.
Kuwa subra Maendeleo hayana Chama.
 
Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws...😎😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom