josephangetile
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 101
- 20
aisee naombeni kuuliza kunatetesi zimeenea mtaani eti kwa mwaka huu ajira za ualimu zinatoka mwezi huu january na tena wiki hii kuanzia tarehe 19 mwezi huu, je kuna ukweli juu ya hili suala?
wale wa kukatisha watu tamaa, kukosoa au kuumiza watu kwa majibu ya hovyo tafadhali ka hujui kaapembeni!!!!
naomba kuwasilisha!!!
wale wa kukatisha watu tamaa, kukosoa au kuumiza watu kwa majibu ya hovyo tafadhali ka hujui kaapembeni!!!!
naomba kuwasilisha!!!