Ajira za TISS hutangazwa wapi?

Kuna la saba na form 4 kibao huko[emoji23][emoji23][emoji23], TISS ni idara mnayoipaisha nyie tu raia lakini ni wa kawaida sana.
Aiseeee nilijua vichwa tuu wapo huko na vetting inachukua hata miaka kumi wanayosema na kozi ni miaka miwili.

Sasa unavyosema la saba na form four duu kudadekiiiiiiiii 😃 😀 😄
 

Kutokana na unyeti, Huwa hawatangazi ila wanakuchagua wenyewe. How? hiyo ni siri ya kambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…