Ajira za TIB Bank zimeota mbawa?

Ajira za TIB Bank zimeota mbawa?

Kama sio mhehe,ondoa matumaini kabisa.

waliniambia tu nihudhurie kwenye interviews yao pale regency park hotel but ckuwa nakumbuka nafasi gani exactly but najua niliapply nafasi za accounts/finance b'se ndiyo proffessional yangu n ckutaka kuuliza ni nafasi gani coz nafasi ya kuhudhuria ilikuwa finyu sana.
 
Back
Top Bottom