Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,914
Hawa ndiyo viongozi wa nchi ya viwanda.
acha uongo bora ukae kimyaAjira zilisimamishwa na raisi kwa ajili ya zoezi la uhakiki wa watumishi hewa, mama Anna kilango malecela akasema mkoani kwake shinyanga hakuna watumishi hewa akatumbuliwa, bado ruhusa ya kuajiri haijatoka
Pole sana kijana. Na anayeruhusu utumishi watoe vibali ni nani? Hivi kwa mawazo yako unadhani waziri anaweza kuzuia ajira kama zipo? Fikiria mara mbili.acha uongo vibali vinatoka utumishi
Sasa wewe unaleta ubishi wa bure. Rais ndo boss kama hujui na akisema waziri nataka uajiri vijana ajira zitatoka lakini akigoma ndo hivyo tens.acha uongo vibali vinatoka utumishi
Waziri haonewi! Hiyo ni wizara yake na ipo ndani ya jurisdiction zake....kama kuna mtu anamzuia kufanya kazi kwakua ana mamlaka makubwa kuliko yeye....! Waziri anatakiwa A-step Down kuonesha hafurahishwi lakini kama anaitika ndio tu na kuendelea kutudanganya huku akifurahia li-cheo....Hakika anastahili kila lawama.Waziri mnamuonea tu steringi wa mchezo wote anajulikana.
Unataka chanzo ? Na wewe umekwama kama serikali ya mkulu.Weka chanzo cha habari