Ajira za Mkapa Foundation

Ajira za Mkapa Foundation

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari waungwana.

Ningependa kufahamu kama wale waloomba Ajira kupitia Mkapa Fellows 2 kwa Mikoa ya Simiyu wameshaitwa kazini au la. Kwani ktk Tangazo lao walisema kwamba watatangaza majina ya watakaopata nafasi Tarehe 24.3.2015 kupitia tovuti yao lkn naona kimya hadi sasa.

Naomba mwenye ufahamu kuhusu hili anijuze.
 
Bora ata wasikuite maana watakupotezea muda na pesa (full kujuana)
 
Mbona majibu yote ni ya kukatisha tamaa tu?
 
watakuita tu na ww ndiyo ulifaulu peke yako( haya ndiyo majibu wanapenda kupewa graduate wetu
 
Back
Top Bottom