Ninamsihi sana sana kaka yangu Cyprian Luhemeja na waziri mteule au mpya wa sekta ya kazi vijana Ajira na watu wenye ulemavu haswa vijana na ajira, kuimulika sana sana hii taasisi kwa jicho la Kizalendo na Utu. Wakiwa kama Rika moja na vijana wenzao ili kubaini uozo na madudu yaliyomo katika Taasisi hii ambayo walikuwa kitengo sasa wanapigania na kujinadibu kuwa mamlaka wakilenga kupatiwa Fungu kubwa zaidi huku wakiwa vinara wa kukatisha vijana wasomi Tamaa za maisha.
mkuu Mtu mbadi shida ni Upendeleo, na kutowajibika kikamilifu. Mbaya zaidi asilimia 90 ya Ofisi hii ni Rika la vijana. Inasikitisha na kufedhehesha sana.
ina