Ajira za kilombero sugar company

Ajira za kilombero sugar company

Colins myinga

Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
16
Reaction score
12
Jaman wadau hivi hawa kilombero ajira zao zipo je maana wanatangazaa kazii mbna majina ya interview kimyaa
 
Wasisumbue watu basi maana ndugu yangu kaomba miezi mine iliyopita wapo kimya tuu mxiiiuuu zao.
 
hao wajinga wanachukua wafanyakazi wanaotoka mtibwa na baadhi ya viwanda..
 
Back
Top Bottom