Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,515
- 11,382
Pambana ukitoboa Utumishi umeulaHuku watu wanapambana na utumishi ,patachimbika adi kieleweke
Pambana ukitoboa Utumishi umeulaHuku watu wanapambana na utumishi ,patachimbika adi kieleweke
Good luckHuku watu wanapambana na utumishi ,patachimbika adi kieleweke
Sio mchezo mkuu,ajira inaitaji cheti Cha f4, Ila unakutana na Mambo ya PhD thesis[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwahi kufanya interview pale.CIA wanalinda, lakini wabongo wanafanya kazi za Secretary, usafi,na ulinzi pia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ndo maana america anatumia bajeti ya $700b kwenye ulinzi bajeti sawa na UK,France, Germany, India,Russia combineNiliwahi kufanya interview pale.
Yani mle ndani ni fully CIA na FBI.kwanza mpaka uingie mle ndani kuna sehemu za ukaguzi kama nne hivi.kuna sehemu wanakukagua hadi macho kwa kuona kama uko kwenye orodha ya magaidi wanaowawinda.halafu kwa wenzetu wenye majina ya dini flani flani nadhani pale huwa wanapata tabu sana kupata ajira,maana siku sisi tumeenda tulikua kama kumi hivi hadi wazungu nao walikuwemo ila wakati wa kuverify majina sikusikia jina lenye asili ya hiyo dini kabisa.
Marekani noma sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ndo maana america anatumia bajeti ya $700b kwenye ulinzi bajeti sawa na UK,France, Germany, India,Russia combine
Na kweli [emoji3][emoji3]Ofisi kama hizo mchujo unaanzia kwenye application process, yaani ku apply kwenyewe tu kunachuja wale wote ambao sio serious, kwa sababu hiyo process ya 2 hours wale waombaji unserious wote maana yake hawataweza kumaliza.
Hawa jamaa kimya deadline ilikuwa 21/07Na kweli [emoji3][emoji3]
Nilipokuwa chuo nilikuwa napenda kwenda pale ndani kwao kujisomea/library ni full mtandao na speed Kali kwa enzi hizo. ID Bure, na baadhi ya huduma ilikuwa ni Bure kabisa. Ni kuzuri Sana pale ndani.Niliwahi kufanya interview pale.