Ajira za Enabel Belgian Development agency

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.

Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.

Vipi washaita, watu wa usahili.

Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
 
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu
Ofisi kama hizo mchujo unaanzia kwenye application process, yaani ku apply kwenyewe tu kunachuja wale wote ambao sio serious, kwa sababu hiyo process ya 2 hours wale waombaji unserious wote maana yake hawataweza kumaliza.
 
[emoji2][emoji2]daa sijawahi kukutana na application ndefu Kama ile
 
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.

Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.

Vipi washaita, watu wa usahili.

Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Nafahamu wana lipa vizuri

Kuna mdada namfahamu ana fany kazi ktk shirika tajwa huyo dada ana enjoy maisha
 
Aisee, Hivi anafanyia Dar maana nimegoogle naona hawana shughuri nyingi Sana na wapo Sana Kigoma
 
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.

Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.

Vipi washaita, watu wa usahili.

Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Mara nyingi mashirika ya mabeberu,, uwa wanalipa sana
 
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.

Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.

Vipi washaita, watu wa usahili.

Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Haaaa Ni Kama za Tamisemi
 
us embassy mlinzi anakula milioni 3 kabla etra duty pay.. nahisi walinzi wengi pale sio watanzania..mbona sjawahi waona huku mtaani wanapokuja kuishi baada ya muda wa kazi.
 
CIA wanalinda, lakini wabongo wanafanya kazi za Secretary, usafi,na ulinzi pia
 
Huku watu wanapambana na utumishi ,patachimbika adi kieleweke
 
Back
Top Bottom