kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
Tembelea: portal.ajira.go.tz
Utumishi wametoa mwongozo kwa watu wanaoomba kazi mtandaoni, pakua faili la PDF hapa: View attachment 277759
Msaada plzz mbona kipengele cha training na work experience najaza zote nikitaka kusave haijisave nifanyeje? Ama nakosea nini? Maana mpka sasa nina 49% tu sijui hizo sabini naFikisha je?
vyeti vya form 4 na six tunaweka wapi mkuu?Hakikisha vibox venye * nyekundu vijazwe. Those are compulsory
Then jaribu tena
Navijaza mkuu lakini haibadiliki ...... Hata sijui tatizo nini khaaaHakikisha vibox venye * nyekundu vijazwe. Those are compulsory
Then jaribu tena
Tofauti kati ya academic qualifications na professional qualification.
Na kwenye academic qualifications najaza general kwamba mf bachelor tu au naweka detail moko moko kuanzia cheti cha o-level?
vyeti vya form 4 na six tunaweka wapi mkuu?
Navijaza mkuu lakini haibadiliki ...... Hata sijui tatizo nini khaaa
Mi mbona nikiview my application imeandikwa Application status received ilo neno First Intervie mbona silioni?Hivi kumbe pakiandikwa hivyo maana'ake utaitwa kwenye interview?
Mi mbona nikiview my application imeandikwa Application status received ilo neno First Intervie mbona silioni?
oya mwana mbona mie nimetuma ikanandikia upande wa application status-neno reseived?
Nimetuma tangu tarehe 11/04/2015 Kuku wa kienyejiKaka sasa ndo umetoka kutuma. Subiri mpaka ukaguliwe kama uko qualified, ndo utaandikiwa first interview.
Processing bado zinafanywa na watu si computer braza. Huwezi kutuma hapo hapo na kuambiwa tayari for interview