Ajira tra, ewura.....

Ajira tra, ewura.....

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Wadau nauliza nafasi za kazi walizotoa TRA ambapo application zilikua online vp kuna mwenye taarifa kuhusu interview????vp Ewura nao walishaajiri ama?
 
kwanza kabla ya kukupa jibu,naomba unijuze umeajiriwa?alafu nitakupa maelezo mengine zaidi?
 
JF sijaajiriwa ila nilimaliza chuo 3 yrs back nina biashara zangu ila nina ndoto ya kufanya huko tra one day
 
Una m2 wa kukushika mkono wee mtoto wa mkulima? Kama huna sahau habari ya ajira za TRA, EWURA na BOT!!!! Endelea na na jidhatiti kwenye :target:biashara zako ili uongeze mtaji utakaosaidia kuwakomboa watoto wako na familia yako!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom