nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
ajira serikalini ni mwaka kesho mwezi wa pili ndoo watu wataajiriwa na kupanda madaraja vyeo nk miezi miwili iliyobaki serikali inafanya tathmini ya zoezi la uhakiki nchi nzima kujilizisha kama limefanyika kikamilifu na kuandaa ripoti ya zoezi zima la uhakiki.
kama huamini ww subiri mda utasema ukweli ndoo huo.
======
Ufafanuzi;
Habari hii Imekanushwa, Fuatilia=>Serikali yakanusha taarifa za kuanza kutoa ajira
kama huamini ww subiri mda utasema ukweli ndoo huo.
======
Ufafanuzi;
Habari hii Imekanushwa, Fuatilia=>Serikali yakanusha taarifa za kuanza kutoa ajira