Ajira serikalini kumwagwa

Ajira serikalini kumwagwa

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
2,084
Reaction score
1,623
serikali itaajiri lini ?mm kada wa ccm najuta watoto wangu hawana ajira wingine wamesimamishwa kazi mwezi wa sita mwaka huu 2016 kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa mpaka mda huu wanalia njaa tu nchi hii ngumu wakati rais alisema uhakiki hauzidi.miezi miwili
 
Kuwen wavumiliv tunamalizia ndege mbil zilizobak ndo ajira zitoke,
 
wadau hivi karibuni tu nimetoka shamba huko nako hali ni mbaya sana nimepeleka matenga ya nyanya 12 pale soko la mabibo wananiambia watanipa elfu 60 tena apo kwa kunionea huruma sasa sina kazi nasubiri ajira za serikali zitolewe 😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵
 
hatuna cha kuwalipa tutawaajiri vipi jamani kama bure njooni juma tatu na vyeti halisi secretariat ya ajira.
 
Back
Top Bottom