Andrew Theguyz
Member
- Aug 28, 2017
- 16
- 12
Wakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.
mpaka ufikishe asilimia 70% ndiyo utakuwa na uwezo wa kuomba nafasi mbalimbali kupitia page yaoWakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.View attachment 1185351
hakikisha ,unafanya attachment ya vyeti kwenye kila eneo linalotaka kuapload cheti hii inaongeza marks,,Wakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.View attachment 1185351
Tumia browser kama chrome kisha enable desktop mode hayo maneno ya pembeni yataacha kuingiliana pia.Wakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.View attachment 1185351
Wakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.View attachment 1185351
View attachment 1186439
Nilishapiga 100%. Njoo nikusaidie.
Nenda ofisi zao wapo IT watakusaidiaWakuu anae jua jinsi ya ku apply kaz kuptia ajira Portal profile yng imfka 46%tu nimeangalia kil shm ipo swa cjujua nakosea wap.View attachment 1185351
😂😂 Hahah hizi sifa sasa mimi 79% nashukuru imenipa Kazi.View attachment 1186439
Nilishapiga 100%. Njoo nikusaidie.
Hiyo 100% ilinipa kazi pia for the first time.😂😂 Hahah hizi sifa sasa mimi 79% nashukuru imenipa Kazi.
Hongera boss uko vizuri sana hope zile workshop umepiga piga,Proffessional certificates zote unazo uko njema boss.Hiyo 100% ilinipa kazi pia for the first time.
mkuu naomba unisaidie na mimi,nimeshindwa kabisa,mkazi kibao zimenipita.View attachment 1186439
Nilishapiga 100%. Njoo nikusaidie.
Nicheck.mkuu naomba unisaidie na mimi,nimeshindwa kabisa,mkazi kibao zimenipita.
Check na Mpombote atakupa habari.mkuu naomba unisaidie na mimi,nimeshindwa kabisa,mkazi kibao zimenipita.
😂 😂 😂 😂😂😂 Hahah hizi sifa sasa mimi 79% nashukuru imenipa Kazi.
😁😁😁😁😁Me nina 46% lkn nimeshaitwa interviews kibao tu na nikashindwa mwenyewe ila sio sababu ya hii profile