Ajira portal issue

Ajira portal issue

sadick_0710

New Member
Joined
Nov 11, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi yako ipo Kama kawa lkn haikubali kuapply..

Alafu pia kuna baadh ya kozi zinaingiliana mfano banking , account,, finance etc lkn mtu wa bank hawez kuomba account , Kwani huu mfumo upojee jaman maan tunapitwa na fursa kibao.

Hili swala linaumiza sana kichwa.. kwa anejua nini cha kufanya please share your thoughts 🙏
 
Back
Top Bottom