Ratio imekaaaje hapo, 400 visiwani na 400 bara ina maaana wazanzibari wote watakuwa askari polisi na watapata ajira lkn bara inakuwa ni majanga na rushwa nyingi ili upate ajira ni bora ukaombeee zanzibar uwe na kipanda cha uzanzibari mkazi hata cha kununua ili upate ajira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.