Tatizo linguine kwenye Muungano. Haiwezekani 400 watoke Znz na kama ni hivyo bara watatoka wangapi? Kwanini wasifanye kwa ratio ya hesabu za watu kwa sehemu zote mbili?
Tatizo linguine kwenye Muungano. Haiwezekani 400 watoke Znz na kama ni hivyo bara watatoka wangapi? Kwanini wasifanye kwa ratio ya hesabu za watu kwa sehemu zote mbili?
polisi makao makuu dsmWakuu hizi form tutazipata wapi? Msaada
Jeshi la polisi limetangaza ajira, linahitaji vijana karibu 400 toka visiwan na vijana zaidi ya 400 toka bara...mwisho wa kutuma maombi ni tar 15/9/2013...sifa uwe na ufaulu mzur wa form 4 na kuendelea...haya vijana mjimwage tena!