Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,737
huenda makosa yaliyopo hapa ndo unayafanya na huko wanakuona sio mtu makini pole sanadah bora ww umeitwa kwenye kujitolea mm hata kujitolea nanyimwa naambiwa niandike barua kwa mkulugenzi then nikifuatilia majibu yangu naambiwa nafasi za kujitolea hakuna saizi serikalini hapa halmashauri ya jiji lambeya
Bora hiyo biashara unayoifikiria kuliko kuuza duka la wachina lakini kama unaona utapata experience yoyote kulingana na ulichosomea fine, binafsi naona bora ufanye biashara unayoifikiria.Hili nalo neno....ndo maana nime post uzi mwingine ktk forum ya biashara.... nataka kwenda singida nikanunue mayai ya kienyeji.....bt kuna mambo kadhaa yananitatiza nimeomba ushauri huko
unataka kuajiriwa au unataka kufanya biashara?Ndugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata
kosa gani mkuu nimelifanya hapahuenda makosa yaliyopo hapa ndo unayafanya na huko wanakuona sio mtu makini pole sana
makosa ya kiuandishi tu sio makubwakosa gani mkuu nimelifanya hapa
mmmhh ok bhna vip lkn mzima wwmakosa ya kiuandishi tu sio makubwa
mi mzima wa afyammmhh ok bhna vip lkn mzima ww
Good adviceHiyo hela ya nauli mwezi mzima plus hela ya chakula mchana mara miezi utakayofanya kazi bora ukaziweka ukafungua biashara ya karanga kwa mwezi unajua umeingiza faida kiasi kuliko kumfaidisha mtu bila malipo, fanya marketing for your own business
so good karibu fanya kuni PMmi mzima wa afya
Hili nalo neno....ndo maana nime post uzi mwingine ktk forum ya biashara.... nataka kwenda singida nikanunue mayai ya kienyeji.....bt kuna mambo kadhaa yananitatiza nimeomba ushauri huko
Hongera mkuu kwa ushauri mzuri na wa hekima.Nenda kafanye mkuu ukiwa kazini kazi zitakuja lakini ukikaa home mhh mi nilipata kazi kabisa na makubaliano kila kitu ni company ya MTU ila ilikuwa ikifika mwisho wa mwezi dah hadi kichwa kinauma naenda dai pesa yangu kama naomba msaada ila sikuacha pale pale nikatengeneza connection na watu nikapata kazi nyingine nikaondoka ila cha moto nilikuwa nakiona hivo usikate tamaa nenda
Mtu hua hawezi kuelewa ni miyeyusho mpk anapoanza kuishi kwa paychek to paychek.Fanya biashara ndugu...kuajiriwa miyeyushoo