Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Mtembea bure sio sawa na mkaa bure!! nenda tuNaomba kujua experience zenu,
Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.
So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
Ndugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapatadah bora ww umeitwa kwenye kujitolea mm hata kujitolea nanyimwa naambiwa niandike barua kwa mkulugenzi then nikifuatilia majibu yangu naambiwa nafasi za kujitolea hakuna saizi serikalini hapa halmashauri ya jiji lambeya
ibaNaomba kujua experience zenu,
Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.
So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
Ndio Ukianza uchakarike kutafuta bila Kupoteza muda ongea na watu uliza nkNdugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata
Hili nalo neno....ndo maana nime post uzi mwingine ktk forum ya biashara.... nataka kwenda singida nikanunue mayai ya kienyeji.....bt kuna mambo kadhaa yananitatiza nimeomba ushauri hukoHiyo hela ya nauli mwezi mzima plus hela ya chakula mchana mara miezi utakayofanya kazi bora ukaziweka ukafungua biashara ya karanga kwa mwezi unajua umeingiza faida kiasi kuliko kumfaidisha mtu bila malipo, fanya marketing for your own business
ww nenda tu bhna kila rekheriNdugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata
Fanya ikuongezee CV ya uzoefuNaomba kujua experience zenu,
Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.
So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
Umesomea nini?Ndugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata