Namuchi braver
Member
- Nov 16, 2020
- 54
- 85
Nilikuwa na wazo kama hiliWengi wanavishughuli vyao Kama wewe huna Ni wewe. Watu wanazitamani hizo pesa za faster faster kulingana na vijishughuli vyao kuingiza pesa yachini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu 5000 na ajira 415 ninkukaribisha rushwa tu bora wangechagua tu kule kule bila kuitisha watu kwenye interview... UsumbufuWengi wanavishughuli vyao Kama wewe huna Ni wewe. Watu wanazitamani hizo pesa za faster faster kulingana na vijishughuli vyao kuingiza pesa yachini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Labda bahati hiyoππ maana namba niliyoikuta kule kubwa mno mkuuNi kweli uelezalo.Lakini,ni lini nafasi za ajira(kuajiriwa hasa na serikali)zilitosha au hata kubaki wazi?Halafu,nimeshuhudia mara nyingi tu,siyo wote waendao kwenye kutahiniwa wanakidhi sifa zitakiwazo.Wengine huenda kama matembezi na kujaribu/kuvizia bahati Ikitokea.Kuwa makini nao.
Watu hawapo vizuri kimawazo.Maisha magumu.Wengine wanaenda tu kusindikiza "wasafiri"!Amini hilo.Labda bahati hiyoππ maana namba niliyoikuta kule kubwa mno mkuu
Walishachagua ila kanuni zinawabana. Ni lazima mchakato na taratibu zizingatiwe ili kuondoa kelele. Huku kwetu Kuna kiongozi wa CCM alikua anakusanya barua za maombi na vyeti wiki moja kabla ya tangazo kutoka.Watu 5000 na ajira 415 ninkukaribisha rushwa tu bora wangechagua tu kule kule bila kuitisha watu kwenye interview... Usumbufu
Watu hawana shukrani.Wakichujwa kabla watatoa malalamiko ya rushwa.Waache waende wote ili hata wageni wajifunze kutahiniwa huwaje!Watu 5000 na ajira 415 ninkukaribisha rushwa tu bora wangechagua tu kule kule bila kuitisha watu kwenye interview... Usumbufu
Sawa mkuu.. Lakin duuh kama hali ndo ilivyo nikisikia hata sitaenda tenaWatu hawana shukrani.Wakichujwa kabla watatoa malalamiko ya rushwa.Waache waende wote ili hata wageni wajifunze kutahiniwa huwaje!
Hapo kweli maan nilisikia wanampitishaWalishachagua ila kanuni zinawabana. Ni lazima mchakato na taratibu zizingatiwe ili kuondoa kelele. Huku kwetu Kuna kiongozi wa CCM alikua anakusanya barua za maombi na vyeti wiki moja kabla ya tangazo kutoka.
Tangazo lilipooka ndo nikajua mchakato umekamilika na Kama bado basi nafasi wazi hata 100 hazifiki katika nafasi 400 zilizotangazwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siku 30000 mkuu.... Kwa siku kumi hapo..300000 ila ukiipata bila kupitia kwa... Basi wew maisha umeyapatia tayari yaani mungu kakufungulia njiaπMnalipwa kiasi gani mpka mrundikane hivyo?
Sio kweliWengi wanavishughuli vyao Kama wewe huna Ni wewe. Watu wanazitamani hizo pesa za faster faster kulingana na vijishughuli vyao kuingiza pesa yachini.
Kuna maafisa kilimo na mifugo, walimu, boda boda, mafundi seremala, wafugahi, wakulima, part-timers n.k
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ππ Dah kweli mambo magumuHapo kweli maan nilisikia wanampitisha
Siku 30000 mkuu.... Kwa siku kumi hapo..300000 ila ukiipata bila kupitia kwa... Basi wew maisha umeyapatia tayari yaani mungu kakufungulia njiaπ
Nimesema zisizo na ufundi kama mwalimu.. Yaani usipoajiliwa ndio badi tena.. Tuanapaswa kutafuta fani nje ya kazi hiyoNikurekebishe kidogo.
Utaratibu wa kuajiri madaktari na walimu mara wamalizapo chuo ulipositishwa hata kusomea ualimu imekua ni mzigo mpya.
Kwahiyo unaposema kozi zenye ufundi mfano ualimu jua kuna walimu hawana mbele wala nyuma tangu 2015.
Basi nimesoma vibaya niliona umeandika kozi zenye ufundi.Nimesema zisizo na ufundi kama mwalimu.. Yaani usipoajiliwa ndio badi tena.. Tuanapaswa kutafuta fani nje ya kazi hiyo
Magumu hasaππ jana nimekoma hapo wengine hawakujua kama kuna maombi... Na yalikuwa maombi ya siku tatu tuππ Dah kweli mambo magumu
Nenda mtaani Kama utakuta mtu amekaa idle tu. Sema Vijana tunahisi ajira ndo kazi rasmi pekee. Yaani mtu akiajiriwa alipwe laki 3 anaona ndo mwisho wa matatizo kuliko kujiajiri apate zaidi.Sio kweli
Tangazo lilzuia Watumishi kuomba cha ajabu nikakuta mstaari waoππ Hatari mnoWengi wanavishughuli vyao Kama wewe huna Ni wewe. Watu wanazitamani hizo pesa za faster faster kulingana na vijishughuli vyao kuingiza pesa yachini.
Kuna maafisa kilimo na mifugo, walimu, boda boda, mafundi seremala, wafugahi, wakulima, part-timers n.k
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app