Ajira ngumu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira ngumu jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Daty, Sep 9, 2011.

1. D

Daty Senior Member

#1
Sep 9, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 126
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Nimechoka kukaa mtaani. Maisha magumu na ajira hazipatikani.

2. I

Idofi JF-Expert Member

#2
Sep 9, 2011
Joined: Dec 14, 2010
Messages: 1,541
Likes Received: 820
Trophy Points: 280
chagua ccm kwa maisha bora kwa kila mtanzania na ajira 1m

3. Perry

Perry JF-Expert Member

#3
Sep 9, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

una shahada ya fani gani mkuu.

4. e

emma Magandi Member

#4
Sep 9, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 7
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

SIO KWAKO NI KOTE MAMBO NI MAGUMU SANA,MAISHA YAPO JUU SANA HAKUNA AJIRA TUNAOKOELEKEA NI PABAYA

5. e

emma Magandi Member

#5
Sep 9, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 7
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ati ndo haya maisha bora kwa kila mtanzania?

6. Nzowa Godat

Nzowa Godat JF-Expert Member

#6
Sep 9, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,630
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Eee, una tembo card master card?

7. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#7
Sep 9, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
You don't need to panic, you have so many options to make your daily life better and better. Think critically, tuna janga la kitaifa katika kila idara, why don't you try to come up with an idea?

How many options have you tried to change the situation you have au ndiyo unaapply kazi na kusubiri kuitwa kwenye interview? Ofcourse kazi its just the matter of time, ila kwa vile unaukata wa siku nyingi ndo maana unaona umechoka kukaa bila ajira. Na kama ulifanya vizuri homework zako, you have the social-network as your first capital, use it.

Ushauri wangu: Unatakiwa kufahamu kuwa kazini ni jela zaidi kuliko kuwa huru na kujiamulia mambo yako mwenyewe. Acha kusubiri ajira, tafuta pa kuanzia huku ukilenga mbali zaidi. Sometimes you have to create a problem and solve it. It takes a time to realize that being employed by a company or an institution doesn't make someone financialy free.

Comeon dude, change your way of thinking and look for opportunity in a right way.

8. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#8
Sep 9, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Pole mkuu,ulichagua mwenyewe.

9. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#9
Sep 9, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Jaribu ujasiriamali mdogo mdogo.

10. Mtambuzi

Mtambuzi Platinum Member

#10
Sep 9, 2011
Joined: Oct 29, 2008
Messages: 8,795
Likes Received: 1,247
Trophy Points: 280
NI rahisi zaidi kama ukiamua kujiajiri.............. mawazo ya kutegemea kuajiriwa ni potofu

11. D

Dariser Member

#11
Sep 9, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 36
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kwa system ya tz kuna elimu nyingine unaweza kupata still kujiajiri kukashindikana!

12. M

Malila JF-Expert Member

#12
Sep 9, 2011
Joined: Dec 22, 2007
Messages: 4,410
Likes Received: 733
Trophy Points: 280
Soma vizuri bandiko la jamaa hapo juu. Kuna majibu hapo.

13. Janice

Janice Member

#13
Sep 9, 2011
Joined: Aug 31, 2011
Messages: 48
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
pole sana,i totally understand ur situation!!!try gettin involved na social gatherings like going to church/mosque/respectable places,ul meet peolple thr who will like u n employ u smwhr,that is one option u can take.And dnt be selective na sio lazima upate kazi of ur profession,ul get a better job once u av a job!!!
Try kazi za sales in banks,from thr ul meet potential clients who will then hire u for a better position

14. N

Ntambaswala JF-Expert Member

#14
Sep 9, 2011
Joined: Dec 7, 2008
Messages: 255
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Kijana unajua kitu kinaitwa "Positive Confession''? Hebu jaribu maana kwa jinsi ulivyosema ni kwamba....umetegwa na maneno ya kinywa chako mwenyewe.. Sasa utapataje kazi wakati wewe mwenyewe unasema hakuna kazi. Ili upate kazi lazima pawe na kazi.

Sasa sema kazi zipo nyingi saaaaana, ila mimi nataka kazi hii........................(tamka) halafu ingia mtaani kuitafuta. Could be ajira binafsi au ya kujiariwa.

Kama unataka ya kuajiriwa? Je una shahada ya Uchumi, Fedha au Biashara? unamudu kiasi kiingereza. Je uko tayari kufanya kazi Msumbiji? kama ndio ni PM

NB. Msumbiji: Cabo Delgado au Sofala

15. E

Emeka Onono Senior Member

#15
Sep 9, 2011
Joined: Jul 3, 2011
Messages: 114
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

mkuu ntambaswala,nami niko tayar kufanya kaz popote,nina BSc in Human Nutrition,nipe dili kaka

16. E

Emeka Onono Senior Member

#16
Sep 9, 2011
Joined: Jul 3, 2011
Messages: 114
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

mkuu ntambaswala,nami niko tayar kufanya kaz popote,nina BSc in Human Nutrition,nipe dili kaka

17. tama

tama JF-Expert Member

#17
Sep 10, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 604
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Usikate tamaa.

18. M

Mocrana JF-Expert Member

#18
Sep 10, 2011
Joined: Sep 10, 2011
Messages: 532
Likes Received: 4
Trophy Points: 35

19. M

Mopalmo JF-Expert Member

#19
Sep 10, 2011
Joined: Nov 11, 2010
Messages: 454
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Hiyo fani nzuri sana basi tu, fikiria zaidi

20. M

Mocrana JF-Expert Member

#20
Sep 10, 2011
Joined: Sep 10, 2011
Messages: 532
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
i totally agree with you, if you want to be financial free then usisubiri kuajiriwa kaka, mm nafanya kazi bank lakini ukweli ni kwamba kama nitaendelea kuwa hapo let say hadi nastaafu pension yangu haitafika hata mil 50, but kuna watu ambao wamejiari wanaingiza hizo hela kwa muda mfupi, so my advice to you is use your head there are so many opportunities dont go along with the crowd and try to keep up with the joneses, tafuta kitabu kinaitwa rich dad poor dad by robert kayosaki, goodluck and remember for every effort there is a reward

Loading...