Ajira mpya za walimu!

Zingatia

Senior Member
Sep 4, 2015
179
69
Swali..Kama mwana jukwaa mpya apa jf...naomba kujua link ajira hizo zitatangazwa? Pia naskia kutakuwa Na interview kabla ya kupangiwa kituo Na mwajiri je kuna ukweli wowote...please naomba kufaham waungwana
 
Mvute subira walimu wetu watarajiwa. Waziri Mkuu ameshadokezea mtaajiriwa panapo majaliwa mwezi julai na walimu wa masomo ya sayansi wakipatiwa upendeleo wa kipekee kwa lengo moja la kwenda kutatua hili tatizo linalozikabili shule nyingi za serikali hasa zile za kata zinazokabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo. Pole kama upo mtaani ukiwa huna ajira ya muda(tempp) ukisubiria hizo posts zitoke! as if unasubiria masihi/mahdi arudi! inachosha na kukatisha tamaa sana na kama ni mwl wa masomo ya arts mtarajiwa ndio kabisaaa!!!
 
Back
Top Bottom