Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

Umeongea mengi Ila
1.usiache Kaz esp kama ya serikali tafuta alternatives
2.Jipe mudaa ulichakate hko wazo vizur..unaonekana bado mtto kwenye maisha na kwenye biashara
3.usiache kazin..kazi ya kuajiriwa ndo basic ya kwanza au mtaji mkuu ukitaka ufanye biashara za

Siyo rahisi ni mpaka athibitishwe kazini which takes 2 yrs.
Kutokana na ushindani wa kutoa mikopo kwa microfinances siku hizi benki wanatoa Mkopo hata kama Mtumishi hajathibitishwa. Ingawa wana limit kiwango cha mkopo
 
Usifanye maamuzi ya kuacha kazi kwa sasa,kinachokutesa hukujiandaa kuajiliwa kwa sasa,kwa maelezo yako,mazingira ya kazi ni mazuri shukuru kwa hilo,tulia hata mwaka mmoja...tumia hiyo ajira kutengeneza biashara,tuna una fursa kuishi jirani na mkoa,wekeza hapo mkoani,hamisha mke mweke hapo mkoani...baada ya muda utazoea na utafurahia maisha...biashara kuna muda inagoma,ajira inakua backup yako...ushauri:USIACHE AJIRA...nakwambia nikiwa na uzoefu wa kufanya biashara na ajira pia.
 
Nimelazimika kuja na ID mpya kwa sababu hii

Ipo hivi, Nilimaliza Chuo 2019, nikaingia mtaani, nikasota sana kwa kutafuta mtaji kidogo, ujenzi, Supplier, yaani mishe nyingi sana ngumu, lakini pia Kuomba ajira bila Mafanikio kwa kipindi chote nilitembeze bahasha.

Nikaanzisha ka business kidogo mjini lakini mda mwingi ni U winga K.koo, humu wengi tuu tushafanya business, Basi Nikakubali haya ndio maisha niyabadilishe taratibu, Nikaweka ndani familia.

Ikafika hatua issue ya ajira nikaipotezea kabisa, sio kama nilikua vizuri kiuchumi, ila sikua tena na morali ya kuajiliwa, hasa kwa kua nilijua nitapelekwa sehemu ambayo sitaweza kufanya harakati zangu.

Hili jambo lilikua tofauti kabisa kwa Bi Mkubwaa, Hakuna kitu alikua akiomba Mungu siku zote kama mimi kupata Ajira, kila chance zikitoka hata kabla sijapata taarifa yeye ashajua ananipigia kuuliza nimeshaomba?
Kutomkatisha tamaa siku zote nimekua nikimuitikiaa,

Nikapata ki part time sehemu flani hivi nakula 500k, Mara Ajira zikatangazwa, Akanipigia kama kawaida, kipindi hiki nikamwambia "mama hapa nishapata ajira ngoja tuu nijishikize huku" hicho kitu alishangaa sanaa, yaaani sana, Akanisisitiza nikaitikia, ila nahisi alijua tuu sitaomba..

Akamuita Bro, kila kitu changu alikua nacho, akamuambia muombee mdogo wako, basi bwana, Mimi kweli sikuomba ila niliambiwa nimekuombea, fumba fumbua June ter 5 napigiwa Simu na Bimkubwa Akiwa anafura ambayo sijawahi muona nayo, "Mwanangu Mungu ni mkubwa Umepata Ajira", na maneo mengi sana ya kushukuru, Maombi yake yamejibiwa,

Nikwa niko surprised nami ilibidi nianze kufurahi nayee, Basi akaniambia Naomba week ijayo uende ukaripoti nitakupa nauli (nauli ni almost 75k), na ukirudi tuu uje nyumbani tuongee.

Kiuhalisia Suala la kupata nilifurahi kwa namna flani ila Baada ya hapo ndio nikaanza kuwaza Ule umbali ambao ndio sikuzote umekua ukiniwazisha nikipata ajira niatatupwa mbali...

Akanitumia 100k, nakumbuka ter 12 nikafunga Safari, Njiani nawaza huku niendako kukoje? Haya achilia mbali huu umbali jee Huko ninakoenda ni ndani kiasi gani? mishe zangu itakuaje? Familia nayo?

Basi Usiku wa giza nikaingia nikatulia pale pale stend, Asubuhi nikaulizia nikapanda gari kwenda Halmashauri, ni elf 3 kutoka mkoani.

Nikamaliza kila kitu mapema, nikasema hapa sirudi mpaka niione shule, Kuipata Shule tu ni elf 10 kwa boda, nikafika nikaangalia mazingira Sio mabaya sana, ni Shule kongwe ya Advance na ndio shule ya wilaya.

Kwa lugha hio, kwa Hapo nilipo, Mkoani ni karibu zaidi ya Wilayani(halmashauri). Kesho yake nikageuza, na mawazo sana, nifanyejee? Isitoshe mpk hapo nilikua nishapigika kiuchumi, maana nilishachukua ka fremu na kuchukua ka mzigo ambako muuzaji ni mimi mwenyewe, naenda kuanzaje life?

Bila kutarajia ilikua June ter 23, napokea Muamala bank "Kiasi cha 671,000 kimewekwa kwenye account yako..."
Nikampigia mshkaji wangu nikamuuliza nimeona pesa ya kujikimu, akaniambia kiasi gani? Nilivyomuambia akasema huo ni mshahara shukuru, wamepata wachache sana..

Basi Siku zikaisha nikarudi kitanzini..

Mazingira ya Nilipopanga...
Ni central kubwa lakini ya kizamani, shule ipo hapo hapo, ila pako local sana, ukabila sana nikaulizia kuhusu business kwa wafanyakazi wenzangu naambiwa hapo ukianzisha biashara kwa wewe mgeni wateja huwapati lakini pia Wafanyabiashara wenzako watakuandama.

Nyumba Nzuri ni zakuunga unga, Wizi kwa sana siku ya kwanza nipo tuu ndani nafanya usafi ndani natoka nje Viatu na Fagio na Ndoo vishaenda. Ukame uliopitiliza, Vyakula ni ghali,

Mazingira ya Kazini...
Shule ni ya Advance, Haina uhaba wa walimu Nina vipindi kama vinne tuu kwa siku(kwa lugha nyingine naingia mara 2 tuu kwa siku).

Baada ya hapo Saa nane vipindi vimeisha, kinachofuatia ni Vipindi vya Ziada ambavyo Vina posho yake(buku 5 kwa kipindi au 10 kwa double).

Chai, lunch ni Jukumu la shule, na ofa ofa nyingne, wana miradi yao mingi.

Kwa ufupi mazingira ya kazini sio shida sana..

Mazingira ya Biashara.....
Kwa hapa ni magumu sana, Nikitaka kufanya hivyo basi niende mkoani, Sio mbali na shule dk kumi umefika, nauli ni buku. Ni mjini pako vizuri almost kila kitu, wafanyakazi wengi wanaishi huko na kufanya biashara zao huko.

Kwa nini nataka kuacha..
Sina furaha kabisa kuishi huku, hakunipi changamoto, Mkoani ndio pana fursa nyingi sana na wateja wapo sana, hasa kwa biashara ambayo mimi nilikua na dili nayo mjini ya electronics, nguo na viatu, ni rahisi sana kuifanya huku, lakini changamoto ni umbali wa kuja dar kuchukua mzigo kuleta, kwa uzoefu inatakiwa angalua kila baada ya week 2 niingie town, nitawezaje?

Ingekua ni sehemu unasafiri usiku, asubuhi umefika hii ningesema ijumaa nije town, jumamosi k.koo, jumapili nageuza, lakini hata kama hilo linawezekana, uhakika wa gari za usiku bado haupo, Tangu nimekuja huku nimekua wa mawazo.

Hivyo naona kabisa nikididimia, kila siku napigiwa simu na watejaa, nalazimika kila baada ya week mbili niende mjini kuweka mambo sawa halafu nirudi, Risk kubwa, gharam kubwa...

Nini napanga...
Salary yangu take home ni 670,000 as sidaiwi loan board, nimeuliza kwa Salary hii naweza pata loan mpk 34M au zaidi ya hapo niki force kumaliza ile 1/3, Nichukue mkopo nirudi zangu mjini ,nitawalipa hata kwa kutumia biaashara, sitaki nigeuke tapeli,

Najua kuna risk pia, ila hili sidhani kama nakurupuka. Niliwaza niombe uhamisho, ila nafikiria ugumu uliopo hapo haijalishi cheti cha ndoa ninacho..

Nini kinanifanya nawaza kuacha..
Bi mkubwa, Bi mkubwa, Bi mkubwa...
Siku akisikia nimeacha, Najua sana ataumia mnoo, hataamini kua nimeacha katika nia nzuri, atahisi ni kukengeuka...,

Mshahara wangu wa pili nilimtumia 150k, akachukua 50k, 100k akarudisha akaniambia jiwekee pesa yako taratibu, umepata ajira utulie mwanangu, Yaani yeye zile hustle za Uwinga mjini, mihangaiko mingi situlii kumbe alikua anaona ni kama mateso, yaani nafanya kwa kuumia, ndio maaana anasema nipumzike, nawaza 670k nitaishije na familia?

Nimewaza Niache Job, lakini asijue mtu yoyote yule ili Bi mkubwa awe na amani...

Naombeni ushauli katika hili...
Nikibaki mazingira ni kama hayo, na zaidi wife amesema ameshachoka kukaa mwenyewe, anaomba kila siku aje, hivyo kama nisipofanya maamuzi ya kuacha, mwezi huu anakuja huku.

Mshahara wa 670k, nitaugawaje kwa matumizi na maendeleo kwa watu wa 3?, Jee nimshirikishe tuu bimkubwa kuhusu hili, nioongee naye kwa undani sana?

Akilili yangu asivi..
Kaucha 70%
Kubaki 15%
Kuhama 5%.

Experience ya Hustle za mtaani, nimeziishi kwa vitendo, nyakati ngumu sana nimekutana nazo, ujenzi nimepiga mno, night shifts sana tuu, ila hua kuna mwanga na tumaini mbeleni, ila hapa ni mtihani.

Mwisho ieleweke Siichukii hii kazi, wala kufanya kwa kinyongo, Hio nayo ni kujitaftia Nuksi na mikosi,

Nikingia Darasani nafundisha vzr tuu na kwa moyo wote, mara nyingi sana wenyewe wananiomba niingie hata Usiku wachange pesa wanipe.

Pengine ningekua town nisingeacha as long napata muda. Hivyo kwa ufupi kazini sina shida, Tatizo linaanza ninaporudi Geto, Sijazoea kabisa kukaa nisubiri mda nile nilale, naona kabisa kuna bomu nalitengeneza, naona majukumu haya hapa.
Baada ya mwaka ukithibitishwa omba ruhusa ya kusoma Master ya jioni Dar.
 
Benki hawakopeshi watumishi ambao hawajathibitishwa kazini na kuthibitishwa kazini hadi mwaka mmoja upite.

Labda apitie chocho tena kwa kupigwa hela ndefuu.

Ushauri bro usiache kazi tafadhali moyo wako na nafsi yako inalijua hilo sema ni kiburi tuu
 
Heshimu jitiada za mother ukiacha kazi ata kwa kukopa 34 mil itayayuka kama petrol ishi kwenye misingi anayoiyaka mother utakuwa blessed hyo hyo 670 k kupitia Dua za mother itakufikisha mbali ambambo aujawai tegemea tulia kazini
 
Usiache kazi
Wakati napata kazi, nilikua na biashara ambayo nilikua natengeneza faida ya 800k na zaidi kwa mwezi. Nilipatwa na hali kama hiyo unayopitia wewe, tena ww shukuru upo mazingira mazuri sana, mie nilitupwa bush balaa. Bado nipo napiga kazi na mambo yanaenda. USIACHE KAZI YA SERIKALI, PAMBANA TU HUMO HUMO NA BIASHARA UNAFANYA
 
Nini kinanifanya nawaza kuacha..
Bi mkubwa, Bi mkubwa, Bi mkubwa...
Siku akisikia nimeacha, Najua sana ataumia mnoo, hataamini kua nimeacha katika nia nzuri, atahisi ni kukengeuka...
Tafuta muda, safiri nenda kamuone Bi Mkubwa (huyu ndio Malaika Mlinzi) ongea nae taratibu maana hii story nzima hakuna mahali inasema kama uliwahi kukaa na Mama ukamueleza kwa ndani, ongea nae taratibu, anaweza asikubali kwa haraka ila mweleze kuwa una nia njema na una experience na hii kitu.

kwa hapa usimweleze kuhusu mambo ya mkeo kuwa anataka urudi, jieleze wewe kama wewe ili asije akwaza kuwa unaacha kazi kutokana na pressure za mke. Naamini atakuelewa. Nazungumza hili kutokana na experience yangu ya mwaka 2008, Rest In Peace Mom, nikiwa nimemaliza chuo na kupangiwa kuwa Mkufunzi Chuo Cha Ualimu nikagoma kwenda, ilimuumiza sana lakini nilipata muda wa kuongea nae, tukakubaliana.
 
BONGE. LA USHAURIII HONGERA SANA UMEMPA USHAURI MZURI AKITAKA AUBEBE AKITAKA AACHE 💊💊
 
Huwezi kuwa tajiri kwa mshahara. Acha kazi kapige mitikasi. Usisikie la mtu .. maisha ni yako. Ila kuacha kazi kwa sasa ni mapema sana.

Jaribu kuwa mbunifu fanya biashara huko huko na piga ajira. Baada ya mwaka omba kuhama.
Universally Applicable 👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • Highest Paying Careers.jpg
    Highest Paying Careers.jpg
    74.3 KB · Views: 4
Asilimiakibwa ya wanaoacha kazi kwa kukurupuka huwa wanajutia sana maamuzi yao. Ukisoma comment yangu nimekushauri ufanye kazi umri usogee, nlimaanisha usikurupuke kuacha kazi. Hujui kesho yako ipoje.
Huyu sidhani kama anakurupuka.., anaonesha ni risk taker,
Inshu hapa ni kumshauri acheze kote kote, kwani kuna ubaya gani akiingiza pesa kote kote? A ikibuma B ipo, kama anaweza kuhama pia apambane
 
Nimelazimika kuja na ID mpya kwa sababu hii

Ipo hivi, Nilimaliza Chuo 2019, nikaingia mtaani, nikasota sana kwa kutafuta mtaji kidogo, ujenzi, Supplier, yaani mishe nyingi sana ngumu, lakini pia Kuomba ajira bila Mafanikio kwa kipindi chote nilitembeze bahasha.

Nikaanzisha ka business kidogo mjini lakini mda mwingi ni U winga K.koo, humu wengi tuu tushafanya business, Basi Nikakubali haya ndio maisha niyabadilishe taratibu, Nikaweka ndani familia.

Ikafika hatua issue ya ajira nikaipotezea kabisa, sio kama nilikua vizuri kiuchumi, ila sikua tena na morali ya kuajiliwa, hasa kwa kua nilijua nitapelekwa sehemu ambayo sitaweza kufanya harakati zangu.

Hili jambo lilikua tofauti kabisa kwa Bi Mkubwaa, Hakuna kitu alikua akiomba Mungu siku zote kama mimi kupata Ajira, kila chance zikitoka hata kabla sijapata taarifa yeye ashajua ananipigia kuuliza nimeshaomba?
Kutomkatisha tamaa siku zote nimekua nikimuitikiaa,

Nikapata ki part time sehemu flani hivi nakula 500k, Mara Ajira zikatangazwa, Akanipigia kama kawaida, kipindi hiki nikamwambia "mama hapa nishapata ajira ngoja tuu nijishikize huku" hicho kitu alishangaa sanaa, yaaani sana, Akanisisitiza nikaitikia, ila nahisi alijua tuu sitaomba..

Akamuita Bro, kila kitu changu alikua nacho, akamuambia muombee mdogo wako, basi bwana, Mimi kweli sikuomba ila niliambiwa nimekuombea, fumba fumbua June ter 5 napigiwa Simu na Bimkubwa Akiwa anafura ambayo sijawahi muona nayo, "Mwanangu Mungu ni mkubwa Umepata Ajira", na maneo mengi sana ya kushukuru, Maombi yake yamejibiwa,

Nikwa niko surprised nami ilibidi nianze kufurahi nayee, Basi akaniambia Naomba week ijayo uende ukaripoti nitakupa nauli (nauli ni almost 75k), na ukirudi tuu uje nyumbani tuongee.

Kiuhalisia Suala la kupata nilifurahi kwa namna flani ila Baada ya hapo ndio nikaanza kuwaza Ule umbali ambao ndio sikuzote umekua ukiniwazisha nikipata ajira niatatupwa mbali...

Akanitumia 100k, nakumbuka ter 12 nikafunga Safari, Njiani nawaza huku niendako kukoje? Haya achilia mbali huu umbali jee Huko ninakoenda ni ndani kiasi gani? mishe zangu itakuaje? Familia nayo?

Basi Usiku wa giza nikaingia nikatulia pale pale stend, Asubuhi nikaulizia nikapanda gari kwenda Halmashauri, ni elf 3 kutoka mkoani.

Nikamaliza kila kitu mapema, nikasema hapa sirudi mpaka niione shule, Kuipata Shule tu ni elf 10 kwa boda, nikafika nikaangalia mazingira Sio mabaya sana, ni Shule kongwe ya Advance na ndio shule ya wilaya.

Kwa lugha hio, kwa Hapo nilipo, Mkoani ni karibu zaidi ya Wilayani(halmashauri). Kesho yake nikageuza, na mawazo sana, nifanyejee? Isitoshe mpk hapo nilikua nishapigika kiuchumi, maana nilishachukua ka fremu na kuchukua ka mzigo ambako muuzaji ni mimi mwenyewe, naenda kuanzaje life?

Bila kutarajia ilikua June ter 23, napokea Muamala bank "Kiasi cha 671,000 kimewekwa kwenye account yako..."
Nikampigia mshkaji wangu nikamuuliza nimeona pesa ya kujikimu, akaniambia kiasi gani? Nilivyomuambia akasema huo ni mshahara shukuru, wamepata wachache sana..

Basi Siku zikaisha nikarudi kitanzini..

Mazingira ya Nilipopanga...
Ni central kubwa lakini ya kizamani, shule ipo hapo hapo, ila pako local sana, ukabila sana nikaulizia kuhusu business kwa wafanyakazi wenzangu naambiwa hapo ukianzisha biashara kwa wewe mgeni wateja huwapati lakini pia Wafanyabiashara wenzako watakuandama.

Nyumba Nzuri ni zakuunga unga, Wizi kwa sana siku ya kwanza nipo tuu ndani nafanya usafi ndani natoka nje Viatu na Fagio na Ndoo vishaenda. Ukame uliopitiliza, Vyakula ni ghali,

Mazingira ya Kazini...
Shule ni ya Advance, Haina uhaba wa walimu Nina vipindi kama vinne tuu kwa siku(kwa lugha nyingine naingia mara 2 tuu kwa siku).

Baada ya hapo Saa nane vipindi vimeisha, kinachofuatia ni Vipindi vya Ziada ambavyo Vina posho yake(buku 5 kwa kipindi au 10 kwa double).

Chai, lunch ni Jukumu la shule, na ofa ofa nyingne, wana miradi yao mingi.

Kwa ufupi mazingira ya kazini sio shida sana..

Mazingira ya Biashara.....
Kwa hapa ni magumu sana, Nikitaka kufanya hivyo basi niende mkoani, Sio mbali na shule dk kumi umefika, nauli ni buku. Ni mjini pako vizuri almost kila kitu, wafanyakazi wengi wanaishi huko na kufanya biashara zao huko.

Kwa nini nataka kuacha..
Sina furaha kabisa kuishi huku, hakunipi changamoto, Mkoani ndio pana fursa nyingi sana na wateja wapo sana, hasa kwa biashara ambayo mimi nilikua na dili nayo mjini ya electronics, nguo na viatu, ni rahisi sana kuifanya huku, lakini changamoto ni umbali wa kuja dar kuchukua mzigo kuleta, kwa uzoefu inatakiwa angalua kila baada ya week 2 niingie town, nitawezaje?

Ingekua ni sehemu unasafiri usiku, asubuhi umefika hii ningesema ijumaa nije town, jumamosi k.koo, jumapili nageuza, lakini hata kama hilo linawezekana, uhakika wa gari za usiku bado haupo, Tangu nimekuja huku nimekua wa mawazo.

Hivyo naona kabisa nikididimia, kila siku napigiwa simu na watejaa, nalazimika kila baada ya week mbili niende mjini kuweka mambo sawa halafu nirudi, Risk kubwa, gharam kubwa...

Nini napanga...
Salary yangu take home ni 670,000 as sidaiwi loan board, nimeuliza kwa Salary hii naweza pata loan mpk 34M au zaidi ya hapo niki force kumaliza ile 1/3, Nichukue mkopo nirudi zangu mjini ,nitawalipa hata kwa kutumia biaashara, sitaki nigeuke tapeli,

Najua kuna risk pia, ila hili sidhani kama nakurupuka. Niliwaza niombe uhamisho, ila nafikiria ugumu uliopo hapo haijalishi cheti cha ndoa ninacho..

Nini kinanifanya nawaza kuacha..
Bi mkubwa, Bi mkubwa, Bi mkubwa...
Siku akisikia nimeacha, Najua sana ataumia mnoo, hataamini kua nimeacha katika nia nzuri, atahisi ni kukengeuka...,

Mshahara wangu wa pili nilimtumia 150k, akachukua 50k, 100k akarudisha akaniambia jiwekee pesa yako taratibu, umepata ajira utulie mwanangu, Yaani yeye zile hustle za Uwinga mjini, mihangaiko mingi situlii kumbe alikua anaona ni kama mateso, yaani nafanya kwa kuumia, ndio maaana anasema nipumzike, nawaza 670k nitaishije na familia?

Nimewaza Niache Job, lakini asijue mtu yoyote yule ili Bi mkubwa awe na amani...

Naombeni ushauli katika hili...
Nikibaki mazingira ni kama hayo, na zaidi wife amesema ameshachoka kukaa mwenyewe, anaomba kila siku aje, hivyo kama nisipofanya maamuzi ya kuacha, mwezi huu anakuja huku.

Mshahara wa 670k, nitaugawaje kwa matumizi na maendeleo kwa watu wa 3?, Jee nimshirikishe tuu bimkubwa kuhusu hili, nioongee naye kwa undani sana?

Akilili yangu asivi..
Kaucha 70%
Kubaki 15%
Kuhama 5%.

Experience ya Hustle za mtaani, nimeziishi kwa vitendo, nyakati ngumu sana nimekutana nazo, ujenzi nimepiga mno, night shifts sana tuu, ila hua kuna mwanga na tumaini mbeleni, ila hapa ni mtihani.

Mwisho ieleweke Siichukii hii kazi, wala kufanya kwa kinyongo, Hio nayo ni kujitaftia Nuksi na mikosi,

Nikingia Darasani nafundisha vzr tuu na kwa moyo wote, mara nyingi sana wenyewe wananiomba niingie hata Usiku wachange pesa wanipe.

Pengine ningekua town nisingeacha as long napata muda. Hivyo kwa ufupi kazini sina shida, Tatizo linaanza ninaporudi Geto, Sijazoea kabisa kukaa nisubiri mda nile nilale, naona kabisa kuna bomu nalitengeneza, naona majukumu haya hapa.
Sawa Mpwayungu Village
 
Biashara upepo mzee, ukienda kinyume utalia. Hiyo ajira nayo inaweza kupa loan kmaa hvov ukafanya jambo, vipi mazao huko hamna ulete mjini?
 
Back
Top Bottom