mpaka hapo umeshapoteza sifa. Hii ni kazi ya wito na kama hauna wito unaweza kuleta madhara makubwa sana kwa jamii na taifa kiujumla.. kama salary ndio kigezo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kushirikiana na wahalifu ili kujipatipatia fedha zaidi. Jeshi likiundwa na wenye wito malalamiko yatapungua sana
Mbona ajira za TISS hazitangazwi?? au inakuwaje??
mi sijaona niambie basi nione..labda macho yangu hayajaona ambayo yanatakiwa kuonawa meshatangaza kwani we ujaona ,mkali vp acha kuniangusha
wa meshatangaza kwani we ujaona ,mkali vp acha kuniangusha
it IS STRICTLY FORBIDEN TO BE ADVERTISED, ACHA MDANGANYA MWENZIO.
we kilahunja tanzania institute of social services (tiss) wametangaza kazi we ujaona tu kama vp apply
we kilahunja tanzania institute of social services (tiss) wametangaza kazi we ujaona tu kama vp apply
jeshi la polisi latangaza nafasi za mafunzo kwa undergraduate wanaomaliza mwaka huu anayejisikia anatakiwa ku download fom na kutuma